JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mshindi atapatikana kutokana na jinsi posts zake zinavyomuelezea yeye alivyo, vigezo vya msingi tutakavyoangalia ni kama vifuatavyo: 1. Sense of humour, love, kindness etc 2. Level of maturity...
1 Reactions
210 Replies
11K Views
Wanasiasa 40 walipata ajali mbaya porini, mkulima mmoja alisogea kuwatazama. akaamua kuchimba shimo na kuwazika wote, polisi wakafika eneo la tukio mahojiano kama ifuatavyo: polisi : zipo wapi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani nimeangalia taarifa ya habari itv leo saa mbili nimesikitika kuona mchungaji mwingira na mshirika wake rose wanavyowatesa wanakijiji kwa kuwanyang;anya wanakijiji maeneo yao na kuwabomolea...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Kuna mashirika yanapaswa kubadili mfumo wake wa Utendaji kazi. Katika kuwezesha wateja kulipia bili zao kwa wakati DAWASCO wametoa mifumo mbalimbali ya malipo ikiwemo M-Pesa, NMB Mobile nk lakini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna jamaa alikuwa anatafuta kazi kwa muda,mara akafika kwenye Zoo moja kuomba kazi,akapewa kazi akatakiwa awe Gorilla a.k.a baboon,basi akawekwa banda la juu,akavalishwa sanamu akawa kama sokwe...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Je? Ni sahihi kwa tabia na desturi yetu Watanzania kwa Mwanamke kumhalalisha mnyama yeyote na hata kuku? Hili nimeliona jana katika pilikapili ya kuufurahia mwaka mpya kwa jirani zangu mwanamke...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
ET mwanamke reception shepu hata kama hukujaliwaa kwa mchina unapata PESA YAKO TU isha mashauzi anatufarijije tulobapaaaaaa ,,,,,,,,,,,,,
0 Reactions
88 Replies
10K Views
tarehe 1.nitaweka jina langu kamili picha yng na wasiliano yng.wadau tuige mfano huu mzuri ili tufahamiane vizuri,kupunguza unafiki
1 Reactions
45 Replies
4K Views
Mimi binafsi sipendi watu wanao beza taaluma! Hila kuna mahali nimekuta pameandikwa eti"MTANGAZAJI NA MPIGA DEBE SAWA TU TOFAUTI YAO NI OFISI"Nimkereka kwa kibaza taaluma!
0 Reactions
30 Replies
3K Views
katika pitapita za leo nimemkuta muuza miwani pembeni ana bango limeandikwa.. FAIDA ZA KUVAA MIWANI 1.KUFICHA AIBU UKITEMBEA 2.HATA KAMA MBAYA UTAONEKANA MZURI/HB., 3.USAIDIA KUFICHA WALE...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Jamani hivi humu jf kuna wangapi huwa wanasherehekea hiyo sikukuu? Na vp maandalizi yake watu huwa wanaandaa menu kama kawa?siku nyingi naisikia hii siku kuu ila wahusika sijawahi kuwaona.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nilipowauliza kulikoni raundi zinazungushwa as if hawayaoni hayo maji, wakanijibu, eti waogope maji kwani wao ni wakinakatope? Ikabidi niondoke taratibu na siku kadhaa baada ya tukio hilo...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
unapokuwa high xkul unaona function nyngne kwenye calculator n impocbo 2 reach,bt ukiwa engineering utatamani kuipasua...see the attachment
0 Reactions
0 Replies
800 Views
(Mlevi#1);Mi nataka kununua dunia. (Mlevi2);Huwezi. (Mlevi#1);Kwanini siwezi?>>>>>> (Mlevi#2);Huwezi kwa sababu sina mpango wa kuiuza dunia.
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Jana jioni Alionyenshwa mtoto kapotea ktk ITv, alipo hojiwa ilikua hivi Aliemukota: unakaa wapi? Mtoto: nyumbani. Aliemuokota: nyumbani kwenu wapi? Mtoto: kwa babu Alomuokota: babu yako...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Yaani mi sijui nanzie wapi maana nimepita katika haya makanisa mapya, tena mengi ni yale yaliyopanga kwenye chumba cha 12x12. Nusu ya chumba kinamezwa na spika. Basi wakianza utasikia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa kweli hali ni mbaya sana hapa Tanzania haswa jiji la Dar tofauti na miaka ya nyuma watu wameuanza mwaka mpya jana lakini tayari wameshachoka hawana matumaini wapo wapo tu ndugu watanzania...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kila sekunde 60 hivi vitu vinatokea katika internet
1 Reactions
4 Replies
997 Views
Pigia kura wanawake
1 Reactions
22 Replies
2K Views
4 REASONS WHY DOGS ARE BETTER THAN WOMEN 1)dogs obey when u shout at them 2)dogs dont shop(shoping) 3)u can give away your dogs children but not woman child 4)any guy can get a good looking...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom