Ni pale shemeji na wifi yenu alipokamata njumu mifukoni kwenye suruali yangu! Macho yalinitoka kigugumizi mate kukauka kutaka nimezwe na ardhi! Ilibidi tu niwasingizie wakina Trab na Trat!
Za...
Wakuu habari za majukumu ya utafutaji
Mimi sina mengi zaidi ya kuomba kufahamishwa kuhusu nini kinahitajika kwa mtu anayetaka kwenda kutembea Zanzibar
Naomba kujulishwa kuhusu aina ya Usafiri...
Huenda baada ya kuhitimu masomo ulimpoteza rafiki au mpenzi wako ama mtu wa muhimu katika shule uliyokuwa unasomea
Uzi huu utumike kumtafuta aliyekuwa mwanafunzi mwenzako katika shule husika. Ni...
Habari Wadau,
Kwa kawaida katika swala zima la mahusiano ya kimapenzi aidha baina ya wanandoa, au wachumba wanaoishi pamoja au wale wana waliovuta mtoto wa kike (demu) na kuishi nae geto.
Kwa...
Kuna habari nyingi sana za uchawi wa kila kabila Hapa nchini,
Kule Tanga milimani kwa wasambaa kuna aina nyingi za uchawi lakini aina hizi Hapa ni noma acha kabisa
1; Zongo- uchawi huu unakaa...
Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.
Ndugu zangu nimepata taarifa kutoka kwa baadhi ya ma homeboyz kwamba kuna baadhi ya vijana wa...
Hongereni na kongoleni MC wote wa Mwanza na vitongoji vyake vya jirani, mfano Kisesa, Magu na kwingineko kwa kazi kubwa mnayoifanya.
Kwakweli kazi iendelee bila kusita. Hata hivyo, mnakumbushwa...
Kwa mara ya kwanza Mwenye enzi Mungu akipenda nitawasili Mwanza siku ya kesho.
Gari wakati wa kwenda nitapanda basi la lampuni ya Kisbo halafu nitarudi na basi la kampuni ya happy nation.
Kwa...
Tabu,shida na changamoto zako ndio sababu ya wewe kutafuta mafanikio zikubali alafu zikabili...na kumbuka mshukuru Mungu kwamba amekuwa mwenye fadhila, Rehema na kukupendelea kipekee.
Neno gani...
Jamani kabinti kangu kamekua hadi raha nawashirikisha kwa sababu mlinibezaga sana .
Eti katoto kazuri hakunaga kuitwaga mamy .
Nimeitwa mamy
Katoto kangu mwaya ππππ
Kakue chimamy wangu mwaya.
Kifupi ni kwamba, kwa sisi watumiaji wa vilevi vya aina mbalimbali huwa inakuwa ni sehemu ya kustarehesha ubongo na pia kupeana mawili matatu katika changamoto za kila siku.
Kumwagilia moyo...
Mambo ni ajee
Basi bwana Leo tarehe 23 ni birthday yangu... nijitakie heri ya siku ya kuzaliwa....
Huu mwaka kwangu ulikuwa wa majonzi na kilio sana....kifupi nilipitia mazito so nilikuwa na...
Hey guys,
its been a decade tangu mara ya mwisho kulog in humu ndani,
Jaman wale mabwana zangu na mashoga zangu wote nimewamiss saana i wish ningekuwa na muda wa kuzogoaa kama zamaniπ₯²
all in all...