Hi JFs'.
kumekuwa na kasumba ya watu au kuwa na hadhi katika jamii kwa sababu ya kazi wanazo zifanya hasa kutokana na elimu waliyo nayo. Kwa mfano daktari ataheshimika tu kwa sababu ni daktari...
Haya jamani, tujikumbushe kila mmoja wetu, mwanafunzi aliyesoma naye ambaye kwa ukorofi, vituko na kadhalika hutakuja kumsahau, ambaye hata walimu na jumuiya nzima ya shule walimnyoshea mikono kwa...
Ni ajabu watu wanataka kubadilisha mboga wakati hawamudu. Watu wagumu kuelewa, utandawazi umeongeza mahitaji ya binadamu, bando, usafiri, simu nzuri, saluni, kodi ya pango na mengine mengi huko...
Tuliosoma Pugu boyz kuanzia miaka ya 2000 kuja juu njooni tupigeni story, kwanza mi nauliza kila Mara nipitapo ile njia kuelekea Kajiungeni huwa hali yangu inabadilika. Huwa nahisi kama narudi...
Wakuuu, Habari zenu, Binafsi nimejifunza mengi hapa Jamii forums kupitia machapisho au Nyuzi za hapa JF, ziko nyingii za miaka na miaka, nyingine zina burudisha, kufundisha nk.
Leo hebu tutajiane...
Pale unapo mfukuzia mwanamke fulani ambaye unampenda sana halafu awe anakuchomolea nje!
Ujumbe wenu huu wazee wa tafuta pesa. Siyo kila mwanamke anahitaji pesa zako wengine wanaomba bidii yako na...
Kuna msela wangu leo kafukuzwa kazi kisa kamjambia boss wake wa kazi.
Msela kachukulia poa tu ila kitu ambacho amekitowa hakika ni zaidi ya Yusufu.
Eti yeye katoa rwakatala, mbaya sana...
Hao magenius wawili ambao ama kwa hakika 2021 wamefanya vizuri kuliko vijana wengi katika suala zima la uandishi wenye tija na maudhui bomba yenye kufikirisha na kubadilisha.wote Wana maarifa...
Huyu jamaa zamani alikuwa serious mtu kazi. Mnapeana kazi kila mtu anamaliza kwa wakati mnafanya majumuisho mnasonga mbele.
Hapa katikati amebadilika sana.mnaweza peana majukumu nyie mkamaliza...
Habari wadau.
Kuhusu huu uzi naomba tuongelee sentesi ya hapo katikati muendelezo ie,
Jana nilikaa maeneo ya pale Picaso hapo katikati akaja jamaa kuniletea mazoea nikamkataa!
Niliitwa kituoni...
Leo nilienda Sauna ,siipendi maana ule umoto unanishinda japo nilivumilia hivyo hivyo ,hapa nilipo nimechoka nasikia usingizi.
Kuna wakaka wazuri wazuri wa kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.