luckyline , asante sana kwa dua, sala na maombi haya.
Mungu Baba katika jina la mwanao Bwawa wetu Yesu Kristo nakuja kwako kwa maombi maalumu.
Nawaombea wanaume wote ulimwenguni wanyime vyote...
Your smile makes me feel special you always make me happy.... You do not know how much special you are to me.
I want to do everything to make your birthday a special one.... You are always with...
Habari wadau
Huyu mwamba labani og namkubali sana humu jf, jamaa comments zake ndo zinaniacha hoi na kunivunja mbavu na hata nyuzi zake,
Nimesoma uzi wa umughaka nikaona posts zake akijifanya...
👋👋
Kama huna cha kuangalia wikendi hebu itazame hii series natumaini utaipenda.
Nimeishia Season10 nasubiria mwakani season 11 ikiwa Complete ndio niendelee.
Ni mzuri sana haiboi haichoshi...
~ Kuna mtu ametuma nauli na mhusika amekaribia kufika [emoji16].
~ Halafu kuna wale tangu walipotuma nauli simu hazipokelewi kabisa.
~ Kisha kuna wale wanaosafiri kwa kutumia nauli zao na...
Naona muda wa kulala unakaribia na wengine bado wanapiga safari moja huanzisha nyingine.
Umewahi kukaa jirani na mtu mahali mnasubiri huduma labda kwenye taasisi fulani hivi halafu huyo mtu...
Mshikaji mmoja yupo jela kwa kesi ya mauaji. Alimuacha mke vizuri na kila kitu sasa mke wake akawa anakitembeza sana, anachapwa sana mtaani na vijana jamaa. Stori zikampata ikamuuma sana.
Siku...
1. Visirani sana na hii inatokana na kutokua na mzigo ( kufungasha)
2. Unaweza ukawatumia nauli alafu kuja magetoni changamoto, Ni wajanja sana
3. Wanapenda zawadi za kitoto kama Pizza...
Habari .
Twende na haka kamchezo. Nenda WhatsApp Messenger, screen shot emoj zako unazotumia mara kwa mara wadau tukuambie tabia zako.
Naanza na mimi hapo kwa picha
Hakuna kitu kinaleta msongo wa mawazo kwa sisi madomo zege kama kuona washikaji wanavyoraluwa pisi kali for free.
Yaani unaona pisi inastahili kuhandle with care ila wahuni wanaitreat kama gari bovu.
Binadamu huwa kwa masaa 24 tunawaza mambo mengi sana ndio maana katika saikolojia watu wanasema binadamu wote ni vichaa. Ndani ya masaa 24 lazima kuna wazo la kijinga litakujia au linalochekesha...
JamiiForums ni jukwaa nililotokea kulipenda sana toka nijiunge nayo mnamo mwaka jana. Jukwaa hili nimetokea kuwa na uraibu nalo kabisa, kiasi kwamba haiwezi kupita siku bila kutupia jicho.
Tokea...
Nataka nifungue Kanisa langu nipige mpunga.
Naona future ipo huko. Siku hizi watu wamekata tamaa sana wanahitaji maneno ya faraja tu kidogo alafu wanakupa sadaka.
Hebu mwangalie
Pastor Mgogo...
Hili swali nimejiuliza muda mrefu Sana lakini nimekosa jibu. Yaani mama amejaa tatoo mwili mzima baba pia amejaa wino mwili mzima lkn Mtoto anazaliwa Hana hata tone la tattoo.
Wataalam wa sayansi...
Hello dears,
Mwenzenu leo hii hali siielewi, sijisikii kuchangamka, kuongea, kula, wala kutoka outing! Yaani kifupi nipo nipo tu kama mtu aliyekosa sera.
Nyie wenzangu huwa mnafanyaje katika...
Habari wakuu.
Kuna waungwana huwa wanatuaminisha kuwa wanawake wote ni sawa na suala la uzuri lipo kwenye macho ya anaetazama. Nimegundua kuwa huwa tunatiana moyo tuu, ila hili jambo sio kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.