JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Inakuwaje wanajamvi! Kidukulilo ni Billionea mshamba sana. Licha ya kuwa na hela lukuki na za kumwaga bado tu mshamba. Kwake magari kama Jeep ndio fahari kwake. Sijui ni kutokujuwa ama exposure...
15 Reactions
40 Replies
5K Views
Ukitaka kuoa kwa kuzingatia taaluma ya mtu ungependa kumuoa nani?
2 Reactions
17 Replies
542 Views
Amini usiamini, aina ya gari unalomiliki linaweza kuelezea tabia yako kwa kiasi kikubwa. Soma hapa: je, wewe tabia yako ni ipi? 1. IST, Raumu, Ractis, Passo, Nissan Tiida, Note, Mazda Demio...
30 Reactions
152 Replies
27K Views
Kumekuwa na wimbi la vijana wengi wanatamani kudate na pisi kali kila iitwapo leo. Mtupe ujuzi; je, hawa pisi kali wana ubora upi na sifa zipi ukilinganisha na hawa wengne kwenye sekta ya mapenzi?
5 Reactions
70 Replies
6K Views
Kuna hawa wanawake hawashawishiki hususani pisi kali, kama wamekaza msamba kaa nao mbali. Kuwalazimisha unashusha 'brand' ya familia yako. Kuwa makini usije potea njia ukakutana na ngumi mchomoko...
1 Reactions
6 Replies
726 Views
Wadau! Natumaini jumatatu yetu imeanza vizuri. Leo asubuhi nikiwa njiani kwenda kazini nmekutana na madubwi yasiyopungua 5 njiani. Binafsi sijawahi kabisa kuvutiwa kuyacheza, ila ongezeko la hizi...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari. Kuna mwamba mmoja TikTok anaitwa Godfather, ana kauli mbiu yake moja ya "Vijana tafuteni hela". Kiuhalisia mimi kwa upande wangu naona anachoongea ni kweli, sema changamoto ni kwenye...
8 Reactions
29 Replies
3K Views
Jamani tuchangamshe ubongo kidogo, uliza swali hapa likijibiwa kiusahihi kuna zawadi ya vocha unapata. Kwahiyo jitahidi kuuliza maswali rahisi ili watu wakupe majibu sahihi, wakikosa ujue nawewe...
0 Reactions
6 Replies
476 Views
Yule bibi mwenye koti jekundu aligundua kuwa kijana huyo anajaribu bila mafanikio kufunga tai yake, akamwambia mumewe amsaidie kisha akamkinga kijana huyo na watu wengine ili asione aibu.' SOMO...
8 Reactions
1 Replies
521 Views
Habari wana MMU? Nikastory kafupi tu kiukweli. Sijawahi kumkula Mwarabu, ila leo nimekutana na Mwarabu, mtoto whiteeee [emoji847][emoji847] kwenye bus na nikaanza kumpigisha story anachekacheka...
1 Reactions
7 Replies
729 Views
Hapo vipi!! Binafsi leo nimeshangazwa sana na ndoto hii kwasababu mimi siyo muuminu wake, wala siyo mfuasi wake kwenye kitu chochote na sijawahi kufika kanisani kwake na pia sijawahi kukutana...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
"Hawa wawili wameingiza goli mbili lakini kwa mbinde sana" Dah nimecheka sana!
2 Reactions
2 Replies
824 Views
Kuwa bonge la bwana sio lazima uwe na mwili mkubwa vile unavyowatendea wanawake (mapambo ya ulimwengu) ndiyo yatafanya mwanamke amwage machozi siku utakayomwambia "Me and you it's over". Siyo mpo...
0 Reactions
7 Replies
923 Views
Tanzania hii ukitoa Maharage na dagaa unaweza kusababisha sintofahamu.
3 Reactions
42 Replies
2K Views
Hili jambo gumu, sema pia ni ushujaa. Kuna siku jamaa konda anamwambia hujalipa jamaa anasema kalipa na anadai chenji. Alianzisha mtiti aisee, watu wakavu sana, ugomvi mkubwa jamaa mwisho...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Habari zenu Wakuu. Nimerejea Tena hapa JF baada ya Kimya Cha muda mrefu Kwa sababu za kubanwa na Majukumu. Cc. Mshana Jr, Gentamycine, GuDume, nk.
2 Reactions
9 Replies
440 Views
Mimi: Baby naomba niletee parachichi nataka kuja kutengeneza juice Yeye: Sawa Mimi:Chagua tena mbovu kama kawaida yako (utani) [emoji1787][emoji1787] Kafika kwa anayeuza: Nipe parachichi mbovu...
2 Reactions
5 Replies
466 Views
UMUGHAKA ana uzi wake wa kichawi, aisee unasisimua sana. Nilipoanza kuusoma niliona ni hadithi tu, lakini sasa ninachokiona ni zaidi ya hadithi. Kuna wamama niliwaota usiku uliopita wakiwa...
15 Reactions
54 Replies
3K Views
Haya wadada njooni hapa mpate kufunguka:D:D maana malaika wa Mungu anapitia huu uzi. NB: Siku hizi mjini mwenye tako anajiamini kuliko mwenye degree.
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Back
Top Bottom