JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Naombeni jina, mtoto wa kiume Mkatoliki.
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Tafadhali naomba tujulishane mapema maana mwaka huu wenyewe hata siuelewi elewi.
1 Reactions
6 Replies
568 Views
Salam Wakuu, Starehe zangu kubwa ni Kula, kulala, kufanikisha ndoto zangu, family ikifurahi. and last , kula watoto flan hiv walaini wenye shade Hakuna raha kama kula mademu wenye ngongingo or Chura
9 Reactions
145 Replies
9K Views
Amani iwe kwenu! Natoa wito kwa wanaume ili upate mafanikio ya haraka, oa mke zaidi ya mmoja, utaona nacho maanisha.
4 Reactions
45 Replies
2K Views
Mimi nikiona nipo hovyohovyo tu ....sijui najisikiaje .... nawagombanisha shabiki wa simba na Yanga halafu nakaa pembeni nikishuhudia wakizozana, gombana au toboana macho kama siku ya leo hii 😂
3 Reactions
59 Replies
2K Views
naombeni mniambie nifanye mazoezi gani miguu yangu inenepe?? nimeachwa kisa cna mguu
1 Reactions
91 Replies
8K Views
Habari za leo, bila shaka utakuwa umeshuhudia ongezeko la vijana wanaojiita mbwa wamekaa paleee. Nini kifanyike kuwapunguza? Wizara inayohusiana na mifugo ina taarifa ya ongezeko la aina hii mpya...
2 Reactions
10 Replies
780 Views
Aziz Ki ashtakiwe na Jamhuri kwa kosa la kujaribu kuua kwa kukusudia siku ile ya Jumapili jioni (murder case) Shauri linasema kuwa, ndugu Ki Aziz akiwa na akili zake timamu alitumia nguvu...
4 Reactions
20 Replies
837 Views
Hela bwana Shetani sana hahahaah, hivi kuna mtu umewahi kukusanya mchango hata wa msiba tu halafu usichomoe hata 10,000 yaaani lazima itakuja kishawishi tu utachomoa sijui kwanini! Hivi kuna mtu...
1 Reactions
8 Replies
661 Views
Jf kila mtu Tajiri Hakuna Nyuzi ya Mtu Maskini. Jf kila mwanaume lazima Anakula Kimasihara Halfu anatumia laki 2 sasa sijui wanaume wajf tofauti na Tunaokutana nao mtaani kutoa Elfu 10 shida. Jf...
13 Reactions
87 Replies
3K Views
1. Manzese enzi hizo ikijulikana kama mji wa Soweto, tabia zote za kishenzi za wizi, uporaji na umalaya katika maeneo ya uwanja wa fisi, rambo bar n.k. 2. Tandale iliogopeka kwa tabia za ukabaji...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Jana nimepita mtaa fulani nimekuta watu wanacheza draft kweli? Nikawaza inamana hawa jamaa hawana michongo au,
4 Reactions
23 Replies
1K Views
haya sasa wale wadau wa kuforce furaha,njooni tufurahishane na Memes kali kutoka katika machaka mbalimbali, ukiwa na meme yoyote inayofurahisha njoo utupie, ukitaka kuona memes Kali njoo hapa..
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Nakumbuka ndo siku ya kwanza jamaa yangu ndo anaanza kutumia kilevi, alipita anaimba njia nzima. Kwa upande wako ilikuwaje?
0 Reactions
5 Replies
524 Views
Kene unzi huu ukiadika kwa usahihi ndio utaoneka umekotea, na ukiambika kwa makotha ndi umempatiaaa. Inawedhekana samani yake uthiione, rakini upe nnda, ntu mmoya hutochi kuamua nzuli wake...
0 Reactions
5 Replies
301 Views
Hadi masomoni?
0 Reactions
3 Replies
388 Views
Ukitaka kujua kama jambo ni baya au zuri andika herufi U kabla ya jina la jambo hilo. Jina utakalo lipata baada ya kuweka herufi U ndilo litakalo kupa majibu kama jambo hilo ni zuri ama sio zuri...
12 Reactions
84 Replies
6K Views
Mwandani wangu yuko mbali, moja ya kitu nimekumbuka ni kugombana na kubishana. Nawaza nimtafutie chanzo tugombane hata kwa simu kisha baada ya siku 3 nimbembeleze yaishe. Nimpigie simu usiku...
2 Reactions
35 Replies
1K Views
Back
Top Bottom