JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
1. Mwenza wako akitema mate kwenye chombo waweza lamba? Jibu laweza kua no, ila content ni zile zile 2. Unajua kijiko au kikombe cha mgahawani unachotukia kimeingia kidomoni mwa watu wangapi ...
0 Reactions
3 Replies
446 Views
Mzuka Wanajamvi! Huko chini sana ardhini kuna miamba na hii miamba mda wote inacheza cheza na kutekenyana tekenyana masaa 24/7. Huko kutekenyana na kucheza cheza zinatoa jasho na hilo jasho ndio...
0 Reactions
2 Replies
478 Views
Kuna tofauti gani baina ya vichekesho vya Kichina na Kiswahili? Tafadhali lete baadhi ya vichekesho vya Kiswahili hapa, tuvilinganishe. 1.NZIGE Wakati Bwana...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Nakumbuka miaka fulani maisha yalinipiga chenga mbaya mbovu, boksi langu lilikuwa gumu utasema ni vault za kuhifadhia dhahabu. Sasa siku moja mchumba akanicheki akadai amenimiss niende kwake...
2 Reactions
0 Replies
727 Views
Naomba anzeni sasa Kupanga Kamati ya Harusi yangu ila Matola atakuwa Bodyguard wangu na LIKUD atakuwa Mpishi wa Chakula cha Harusi yangu. Wengine jipangeni Wenyewe.
7 Reactions
61 Replies
2K Views
Chrismas bado mwezi mmoja na ushee! Kuna watakaotaka kusafiri kwa magari yao wakawaringishie ndugu zao Moshi! Kuna wanaoenda mbugani kuona wanyama! Kuna watakaotaka kutalii tu kiujumla! Kuna...
0 Reactions
15 Replies
382 Views
Naweza download wapi hivi vibwagizo. 1. No noo, huku anacheka. 2. Usifanye hivyoooo! 3. Nauli amepewa yeye, ukorofi! 4. Kwani nini? 5. Visound vya Uhuru Kenyata. 6. Kile Magufuli alichoshindwa...
1 Reactions
15 Replies
803 Views
Wahenga wanasema hivo ulivyo ni jamaii imetaka uwe hivyo, so chunga sana mazingira yanaweza kukutengeneza ama kukuharibu, kifikira muonekano hata tabia.
2 Reactions
3 Replies
436 Views
Yaani siku hizi bwana wanawake wamekuwa kama wanaume na wanaume wamekuwa kama wanawake Yaani wanawake wa siku hizi bwana wanajiamini kuliko hata wanaume wa Dar. Unafikiri ukimpa mimba ndo...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Mzuka Wanajamvi! Kuna msitu hapa ukivuka reli, nikaamua niende kutembea usiku huu kuzuga. Pupwe likawa linapuliza kichizi, na pia kwa wakati kama huu unajinyoosha vichakani huku unavuta mjani...
2 Reactions
3 Replies
395 Views
Wana-JF wa Arusha, Wababa :Enda-Subhai! Wamama :Endakwenya! Wote :Subhati Ngerai, habari-ya-Ngaji?..Engai Engoitoi!...poleni sana! Wapendwa, Nia yangu si ubaguzi wa Makabila au maeneo, lakini kama...
3 Reactions
630 Replies
41K Views
Ucheshi kidogo, baadhi ya majina ya kipekee Jamiiforum 1. Kichwa kichafu 2.mpwayungu 3. Wa stendi 4. Bujbuji 5. Prakatatumba 6. To yeye Hayo majina ya ukoo au?
7 Reactions
35 Replies
2K Views
Nimechoshwa na tabia wanadada wenye midomo isiyo na marinda. Kama umelewa usitukane, Kwa sababu hata gemu haliwezi kunoga
2 Reactions
14 Replies
549 Views
Hakuna aliye mkamilifu hapa chini ya jua! Hivyo binadamu wote tu wadhaifu. Vitabu vya dini vunatuhasa kusamehe saba mara sabini ili mioyo yetu isiwe na kinyongo tena Huu ni uzi maalumu kwa ajili...
1 Reactions
40 Replies
1K Views
Zifuatazo ni dalili za mwanaume shoga. 1.Anapenda kuvaa heleni 2.Anapenda kujichubua Ukijiona unapenda moja au mawili hapo juu jua unakoilekea ni ushogani. Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
45 Replies
17K Views
Hivi wangeumbwa wanawake bila wanaume je wangetembea nusu uchi??
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Fanya ujeuri, ubabe, ukorofi, ukatili, ukandamizaji, uonevu, dhuluma, wizi, ushirikina, uzinifu, ukahaba, majivuno, majigambo, dharau, kujiona bora, kujivuna n.k n.k Kumbuka kiboko ya yote hayo ni...
1 Reactions
5 Replies
459 Views
Kwa wakati ambao nimefikia naona ni bora ni jaribu pia upande wa pili kutafuta kizizi na mimi maana sio kwa gundu hili. Mimi wa kukataliwa na shetani kabisa Yaani hii ni hatari, msomaji kuna...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom