JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ninasoma kila thread ili nijifunze, sio ili nibishane. Kuna watu wanaandika kama comedy, ila thread zao zina mafunzo mengi sana. Usichukulie poa thread kwa sababu ya title iliyo beba, soma ndani
6 Reactions
5 Replies
434 Views
Sauti za kike zinasikika zikiimba maneno yafuatayo "Ni wajibu wetu kumshukuru Mwalimu nyerere,ni wewe ulianzisha umoja wa taifa,ni wewe ulianzisha cha chetu tanu" Wakuu hayo Ndio maneno...
1 Reactions
35 Replies
16K Views
Umu jf kuna majina Mengi ya ajabu ila hili la "Tsh" mimi limenipa kichwa Kuuma. Jina gani linakudhoofisha kabisa humu ndani?
1 Reactions
17 Replies
999 Views
Aisee umenenepa sana. Aisee umekonda sana. Aisee hivi upo wapi saivi? Dah...hivi kama ni kukonda au kunenepa mimi sininajifahamu tokea nimetokea nyumbni asubuhi...kuna watu huwa Wana kauli na...
2 Reactions
7 Replies
423 Views
Ukikutana naye cha kwanza ana sikiliza shida zako vizuri. Halafu anakuuliza vipi umejaribu mara ngapi kutatua hizo shida zako kabla ya kunifuata? Una jibu, halafu anakwambia ukweli kuwa...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
waungwana, wastaarabu, jamani ile picha niliyokuwa naitafuta usiku na mchana humu JF hatimaye nimeipata, hii hapa.👇👇👇👇 Sasa muwe makini sana wakati mnaandika uongo wenu. 😁😁😁
10 Reactions
30 Replies
2K Views
Orodhesha majina ya kike yanayoanzia na herufi P mnayoyajua.
0 Reactions
19 Replies
22K Views
Kuna dalili manyunyu yanapiga tuendeleeni kuomba dua.
3 Reactions
11 Replies
519 Views
Kama unafikiri Dunia hii umeona kila kitu, hapana. Ona hii; "Aliyeokoa anaenda kufundishwa uokoaji na waliyoshindwa kuokoa." 'Made in Tanzania'. [emoji1241]...
29 Reactions
69 Replies
3K Views
"NITUMIE BASI PICHA ZAKO!!" Hii ndio kauli pekee Ambayo mwanamke anajua kabisa anatongozwa na chizi!!😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
19 Reactions
85 Replies
5K Views
Serikali inaweza kukubana ukawa bize kulitumikia taifa na kutusahau wana humu JF. Tuendelee kuwakumbuka na kuwaita malejendari kadhaa ambao waliwika katika majukwaa mbalimbali kipindi fulani...
12 Reactions
135 Replies
7K Views
Jamii forum ina majibu ya kila swali , kuanzia maswali ya msingi mpak ya kijinga yote Yana majibu sahihi kupitia JF, mtandaoni sa hv ni vurugu mechi. Kila Kona ni meme za "AFTATU " ndo...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Maeneo ya Kisutu kule nyuma karibu na Upanga kulikuwa na eneo vinapikwa vitumbua vitamu mnooo. Sijui kama bàdo wapo wale jamaa.
0 Reactions
6 Replies
572 Views
Tanzania inafuatilia kwa karibu sana mwenendo wa matukio yote katika uchaguzi wa nchini Marekani ili kuhakikisha kuwa haki inatendeka na uchaguzi huo unakuwa wa ni huru na wa haki. Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
377 Views
Dear: KatungeWake You mean the world to me, I love you beyond belief, and you make me happy every day. I am the luckiest person, knowing I have you. I can't believe we have come so far. When I...
1 Reactions
2 Replies
335 Views
Utakuja Kwangu GENTAMYCINE na Mchango wako tu wa Shilingi Elfu Hamsini ( Tsh 50,000/= ) tu kisha Maelekezo yafuatayo yatafuata Kwako..... 1. Kuna Fomu utajaza aina ya Kazi ambayo utaiweza na hasa...
4 Reactions
13 Replies
902 Views
Jamani naombeni msaada maana ya majina haya protas na pascal
1 Reactions
1 Replies
491 Views
Furaha iliyoje baada ya juzi juzi hapa kama siku chache zilizopita, nilimpigia simu mpenzi wangu kwa kutumia simu ya rafiki yangu. Alipokea simu tu na kusema "Mambo baby wangu" tena kwa sauti...
5 Reactions
18 Replies
890 Views
Japo mimi ni Simba damu damu ila huu ndiyo ukweli. Comment fupi fupi tafadhari.
3 Reactions
13 Replies
843 Views
MUNGU Awabariki KUJITOA KUNA BARAKA ZAKE THX ENGN THX MAJALIWA THX DAR YOUNG AFRICANS
0 Reactions
3 Replies
482 Views
Back
Top Bottom