Kwa kweli sisi ni washamba sana na malimbukeni.
Sisi ndiyo tunaouza ng'ombe tukale chips kuku na wanawake.
Uchawi tumo sana, UMUGHAKA anaujua muziki wetu.
Sisi ndiyo tunapiga mapicha na mapozi...
Kiuhalisia kila kitu kinachotendeka katika maisha yakila siku ni marudio ya maisha yaliyopita, na tayari maisha hayo yamehifadhiwa kwenye maandiko mbalimbali, amini usiamini maswali yako yote...
Hivi karibuni nimekua nikinyewe na ndege Mara kwa Mara Haswa napokua nipumzika mahali (kwenye kivuli au chini ya nyaya za umeme). Naomba kujua tukio hili huashiria nini!?
Addiction Ni kitu ambacho kamwe hakiwezi epukika katika Karne hii ya 21.In one way or the lazima kila mwanadamu especially wanaume atakuwa addicted na mojawapo ya vitu vifuatavyo;
1.Betting &...
Nisikuchoshe.
Huyu mwanamke nilitafuta kila njia kuachana naye.
Alistukiwa na mumewe na akaniambia amestukiwa, hakujua anani alert, nikajisemea ni Muda sahihi kuachana na kukimbia mbio.
Siku...
1. Watetezi wa Udikteta
Kumeibuka kundi kubwa la watu katika huu mtandao wakihusudu na kutamani kutawaliwa kidekteta kwa imani kwamba madikteta ndio huleta maendeleo kwa kasi. Naamini ni ujinga...
Mnaendeleaje na ujenzi wa Taifa? Jumapili nilifanya kitendo ambacho kimenipa maswali mengi ya namna ya kumtazama Mchungaji na washirika wenzangu kwa jicho lile lile la mwanzo. Naumia sana, na...
Salaam!
Huu ni Utafiti huru na sio kila mtu aukubari,lakini ukweli ni kwamba joto la Uume ni kali sana ila inakuwa vigumu sana kulihisi kutokana na ukweli kwamba mwili mzima huwa katika pressure...
Hii tabia inakera sasa kwa siku nafuatwa na wanawake 6 mpaka 10 huku pm, wengi wao wanaomba mahusiano na mimi mwizukulu mgikuru a.k.a babu...nimechoka kutongozwa na akina beesmom.
Mpo poa nawatakia good nights wote wanaojitambua akiwemo mzab zab na Glen na wengineo Love Doctor Lovelovie Kasie Bujibuji Simba Nyamaume sophie na wengine wengi shusha na wako
Humu tumo mkusanyiko wa watu wengi ambao tumeunda jamii hivyo tumesadiki nadharia ya Jamii ambayo ipo katika mfumo wa forum!.
Nitaielezea kidogo jamii ya jamiiforum kwa makundi machache huku...
KIVUKO CHA MV NYERERE CHAZAMA
Kivuko cha MV Nyerere kinachofanya safari zake kati ya Bugorara na kisiwa cha Ukala katika ziwa Victoria kimezama muda huu, huku taarifa za idadi ya watu waliokuwemo...
Marafiki zangu toka africa,ulaya,asia na marekani wamekuwa wakiniuliza nmepatwa na nini?mbona kule twitter naandika kama mtu mwenye stress za maisha?
Nmeshangaa sana maana mimi situmii account ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.