1. Usishiriki mipango yako na mtu yeyote.
2. Usizungumze kuhusu taarifa za ndani za maisha yako.
3. Usizungumze kamwe kuhusu matatizo ya familia yako.
4. Usizungumze kamwe jinsi ulivyo shujaa...
Wakuu,
Mkeka Wa Vitu Ambavyo havikuwepo kabisa Duniani Mwaka 2003. Maisha Yako Spidi Sana.
Hichi Kizazi Cha Miaka ya 2000+ Ni Nyoko. Malezi Yao yanahitaji Moyo wa Chuma. Tupambane Hamna Namna...
Nawakimbusha sana katika maisha yako panda mbegu ya upendo maana hujui kesho yako. Usije jifanya Mungu mtu kwa leo halafu kesho yako ikiwa mbaya ukashindwa hata pa kukimbilia. tusijisahau sana.
Kwa chuki iliyo dhahiri kwa CCM kutokea kwa wananchi wa maeneo niliyoyataja hapo juu hakika ni wazi CCM haina chake.
Tunduma kwa mfano, ukiitaja CCM na Rais wake kwa wema jiandae kutukanwa ama...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, yaani nikipata mshahara tu gafla namuona wife anataka kugeuka kuwa ngedere, yaani anabadilika kabisa huwezi amin. Yaani nataman hata kumpeleka...
Nilipokuwa mdogo nilijua duka likifungwa mtu anashusha vitu vyote kwenye shelves anaweka chini.
Nilipokuwa mdogo nilijua TV ikiwa inaongea ikatokea umeme umekatika inaendelea palepale ilipoishia...
Ni kichaa tu atakataa! ccm imechukuwa nchi kutoka kwa mkoloni, vitu vyote kuanzia miundombinu, maflyover,mifumo ya umeme, mashule mahospitali, zahanati na madawa, mabohari, mibarabara nchi nzima...
Miaka 70 kuanzia leo yaani 2110. Sisi Sote tutakuwa makaburini pamoja na jamaa zetu na marafiki zetu. Watu tusiowajua wataishi katika majumba na maeneo yetu.
MALI zetu zooote zitamilikiwa na...
Nimekuwa nikijiuliza Sana swali hili kwamba ni nani aliclassify majina haya kiasi ambacho mwanaume akiitwa Rachel au Diana kuwa ni kosa au mwanamke kuitwa juma au Gabriel ni kosa. Au muislam...
Seke seke la kitaa
Na bindondora
************
"Yule jamaa katoka sauz ni mgeni kabisa hapa tz , sasa nasikieni karudi na mapuri ya bange kibao"
"Sasa sie tunavuta bangi? Akazungumza kwa zarau...
Walipofika wao walikuwa wana Biblia, sisi tulikuwa na ardhi. Wakatuambia tufumbe macho na tusali.
Tulipomaliza kusali na kufumbua macho, wao walikuwa na ardhi, sisi tuna Biblia.
Wakatuambia...
Hivi eti klabu za Simba, Yanga na Azam ukizipa hadhi ya nchi tatu za East Africa, yaani Kenya, Uganda na Tanzania, klabu ipi itaipa nchi gani.
Mimi naanza hivi:
Yanga = Kenya
Simba = Tanzania...
Hapa nataka kujua watu wenye ushawishi kwenye jukwaa husika ambapo ukienda huko bila kumfahamu huyo basi wewe huenda hujawahi tembelea hilo jukwaa
Nianze na majukwaa haya machache ambayo Kwa...
Kwani sisi wanawake mmetuweka kwenye kundi gani? Mnatuonaje yaani? Mbali na kuwazaa, kuwalea mkakua, kwani sisi wanawake mnatuonaje onaje?
Mfano mimi wakiniuliza wanaume unawaonaje onaje...
Wanawake wa Dar wana Viwango vyao vya hela:
Ukiwa unampa 50,000-90,000
utakuwa unaitwa jina lako tu.
Good morning Kelvin, Hello Kelvin how is your day? Good night Kelvin.
Ukiwa unampa kati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.