Suala la kukataliwa limewafanya wavulana kutotetea uanaume wao wakidhani kuwa, hapo walipo ni kwa neema tu na si uwezo binafsi.
Unakuta mvulana anachapiwa mbususu yake aliyoitolea kodi, ila bado...
Tigo mtabaki kuwa juu, juu mbinguni yani leo mmejua kunifuta machozi ya bando lililo juu juu angani, yani haya maumivu ya bando ni zaidi na sindano ikipita kwenye ukucha.
Nirudi kwenye mada, leo...
Hayo yamependekezwa na mshauri wa ufundi wa Argentina fc kupitia wizara ya michezo na burudani baada ya kuona kiwango cha messi na wachezaji waandamizi wakishindwa kuifunga hata saudi arabia huku...
Si juzi tu TBC wamepiga pang'ang'a mingi kwamba oooh, wanaonyesha wedi kapu....mbona tunaambulia kuona Muheshimiwa akifungua ma project ya mwendazake?
Halafu najipata nimeshikwa na hasira maanake...
Yaani kwa mfano unasema tu
Ubungo hakuna umeme, halafu unasema hayoooooo matanesco hayana maana.
Yaani yazomeeni ili mmalize hasira zenu zote sababu yanakusanya kodi na huduma ni mbovu miaka 60...
Ngoja niwape stori, mwaka juzi tulitoka Dar kwenda Tabora kufanya biashara ya kuuziana gari ambayo ilipostiwa humu humu JF.
Tukafika Tabora tukaiona gari tukarizika nayo, tukapana, tukailipia...
Habari,
Leo siku yenu wanaume, mbona hakuna shamra shamra or are you are unaware of the International Men's Day? Ama mpo bize kutafuta alfu tatu.
God Bless all men who try, who are there and who...
Wanawake siwaelewi. Huyu analia shida kuwa maisha magumu, na anamlalamkia mpenzi wake kuwa ni bahiri, lakini nikitangaza dau anipe penzi anakataa kuwa yeye siyo malaya.
Nimetangaza dau la laki...
Poleni na majukumu ndugu zangu.
Mpira una mashabiki maelfu kwa kwa mamia, miongoni mwao mimi sijabahatika kuwemo. Dah alieniroga, hakika sijuwi nimwambieje!
~ Ukiwa na mimi ukaleta habari za...
Si vibaya mtu ukikumbuka ulipotoka.
Nakumbuka siku ya kwanza kukanyaga Pugu ilikuwa tarehe 5 mwezi februari. ilikuwa ni siku ya mapumziko (public holiday), siku ya kuzaliwa CCM(Kwa miaka hiyo...
Sehemu ya kwanza
Nakumbuka ilikuwa ni mwaka 2019, kipindi hicho niko chuo mkoa wa Mbeya katika harakati zangu za hapa na pale. Mimi nilikuwa ni mtu wa kwenda sana klabu kupata mbili tatu za hapa...
Ni hivi kuna jamaa yangu mmoja kaja kunishauri ooh unajua kaka una matumizi mabaya ya fedha kwahiyo nakushauri uanze kuweka akiba ili ikusaidie baadaye.
Mwanzo nikaona ana point ila nilivyo kaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.