Daah wanaJF, natumai wazima
Twende kwenye point
Je, unakaa Dar?
Je, ushwahii kupotea njia?
Je, ushawahi kuibiwa?
Siku moja hivi nilikuwa na furaha mno daaah nikapanda daladala kwenda nyumbani...
Aisee, kwangu hii ingekuwa sheria na wala siyo ombi, ukiukwaji wa sheria hii adhabu yake ingekuwa ni viboko vya kila rangi, ni mwendo wa bakora kwa kwenda mbele.
Sheria ingekuwa ni kama...
Wasalaam wanajukwaa, ningependa kufahamishwa ni kwa namna gani Kenge anavyoweza kumdhuru Binadamu, namna ya kumuepuka kama kuna yoyote anafahamu njia za kukabiliana na viumbe hawa kama...
Nauza vitu vyangu mwenyewe akuna darali nahamama nchini Tanzania nakwenda kikazi America "United States of America "karbu ujipatie vitu Kwa bei nzuri Sana.
Karibu PM
Kwema?
Aisee wadau nimekuwa na mapenzi makubwa na Jennifer Lopez ila nimekosa njia ya kukutana naye. Kama kuna mtu mwenye 'access' naye anipm, nitampa chochote kile. aisee, nyie, jamani mh...
Kijana wa sasa ambae hujaoa ila pia unategemea kuoa unapokuwa unatafuta mwenza jitahidi uchague mwanamke anaetoka kwenye familia ya kipato cha kati, vinginevyo itakuwa unaendeleza umasikini au...
Ukweli ndiyo huo. Wanawake, hasa nyie wadada wa makamo (26-45) pendeni sana kuwa na matumbo mazuri. Vitambi waachieni wanaume. Bila viriba tumbo mnapendeza. Fanyieni kazi tafadhali.
Majobless, masikini na mnaoshi kwa shemeji zenu mko poa? Na wakerewe pia mko poa?
Wakuu humu jf kuna lijamaa linaitwa gaganiga daah wakuu huyu jamaa ni mnyamwezi fulani iko pesa nyingi sana aisee...
hello,
Oya wanangu eeh, kitambo sana.
Dah, sikumoja nilikutana na mdada mzuri, mnene kiasi, ana shepu fulani hivi. Siku ya kwanza nilimwomba namba, kanipa. Tukachati siku ya kwanza, wiki...
Najilaumu mno, huyu mpenzi wangu amenichemshia maziwa na mikate, nilikuwa na hasira tu hasa baada ya kuliangalia tumbo lake na usumbufu anaonipa.
Bado nina hasira mno mpaka muda huu. Chupa ya...
Kidemu kifupi cheusi kina mapengo meno ya mbele kinaniambia bila afu tisini hakiwezi toka na mimi. Wakati huo nachati na pisi kali inaniambia tu tafuta kiwanja kizuri tukaenjoy.
Hapo ndio...
Ndugu zangu tumsifu Yesu Kristo. Kesho naenda Shinyanga mjini Kwa wenyeji mnipokee lakini pia sehemu za kulala nzuri zilizostaarabika na Yale mambo yetu ya Hawa mama zetu.
Lakini pia napenda...
Habari wakuu.
Nimeamua kumaliza UJANA wangu kwa kufanya starehe/kula Bata ndani ya Mwaka Huu mmoja 2022.
Kuna uwezekano mkubwa sana nikapata mwenza wa Maisha Mke Mwaka 2023/24.
Mipango ya Mungu...
Wanaume,
Acheni kutoa pesa kirahisi kwa wanawake. Wanawaona mapimbi tu mkiwapa pesa.
Penzi huja automatically, halinunuliki. Unaweza kupewa mpaka maku lakini hupendwi, just unaonjeshwa tu utelezi...
Hello wanajukwaa,
Naomba kurudi kwenu kuomba kama nitapata binti wa kazi atakayekubali kwa hiki kiasi kidogo cha pesa nilichobarikiwa na Mola cha 63k kwa wiki, sawa na 9k kwa siku. Ni kwa vile tu...
Salamu kwenu wana JF, aomba kuuliza kitu wanajamvi,
Ni kipindi gani mtu anapenda kuwa karibu na Mungu kati ya hivi vifuatavyo? Yaani anapenda kusikiliza nyimbo za dini na kusifu, anaswali sana...
Hello! Are there any venturesome people? I’m having a bussiness trip in Kenya now, and I wanna make some bets. Do you know any reliable betting sites here. Found this hightbet.com/ke/ , but I’m...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.