JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari wana jamvi, Moja kwa moja kwenye mada, binafsi nilianza kuisikia JamiiForums 2012 na kipindi hicho simu zililokua zinasapoti internet nyingi ni OS, na JAVA phones japo android zilikuepo...
4 Reactions
119 Replies
4K Views
Wewe sitaki kuamini ni mpe moyo nife ye abaki. Sijui msikate tamaa 2 na kuomba kwa Mungu Mimi niliachaga kupenda, hamna maana hapo, utaumia 2 ndugu. By but khann
0 Reactions
2 Replies
375 Views
Naileta mada hii kwa heshima kuu ya Slim5 aliyeulizia kwenye uzi wa walevi kuwa wasio walevi wakachangie wapi. Duniani hakuna mtu asiyekosa kilevi chake... Kilevi ni starehe na starehe ni hobby...
13 Reactions
272 Replies
15K Views
Kucha kutwa sisi kazi yetu ni kupambana na wananchi wanaoibeza CCM huko mitaani na mitandaoni. Lakini miaka inaenda, mvi zinaota kichwani, nyuso zinajikunja kwa kupigwa na maisha magumu na...
1 Reactions
4 Replies
397 Views
Kuna watu huwa wanaudhi sana, yaani anaweza asikupigie simu muda mrefu sana au hata kama anakupigia mara kwa mara lakini mara nyingi kuna watu fulani hupiga simu punde tu maongezi yanapoanza...
0 Reactions
3 Replies
400 Views
Uvivu upo kundi la ulevi kama ilivyo kwa waraibu wa pombe, umalaya, bangi, sigara, n.k ? Ni ulevi upi wa ziada wavivu huupenda?
1 Reactions
2 Replies
436 Views
Ukipata hela utajenga kwanza nyumba au utanunua kwanza gari kali?
2 Reactions
32 Replies
1K Views
Kwanza kabisa, nakutakia afya njema kama ya kwangu.. Bila kinyongo kabisa naomba niweke hapa kero yangu juu ya waandishi baadhi wa hoja hapa jf Kama utaguswa tafadhali usikasirike wala...
5 Reactions
13 Replies
499 Views
Hello I Wish you mwezi mpya
0 Reactions
2 Replies
268 Views
Aise hebu achana na fikra za aliniacha akawafata wenye hela. Pesa ni kiungo muhimu sana katika mahusiano,. TAFUTA PESA. Sio lazima ziwe nyingi ila hakikisha zinatosha kwa mahitaji muhimu..
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Hello family,hope mko bye! Moja kwa moja kwenye uzi,kwa kifupi sana ndoto yenyewe ni kwamba JF ina utaratibu wa get together party kwa kila mwisho wa mwaka (December) kwa members wote wa JF na...
1 Reactions
4 Replies
460 Views
Mnamuita GEENTA popoma. Hapana, hawezi kua popoma. He is very bright
4 Reactions
69 Replies
3K Views
hapo kosa lipo wapi?
2 Reactions
8 Replies
546 Views
Ndomana mnafanyiwa ukatili, bora useme ukweli hutumii pombe mm nitakununulia hata wine ya Namibia nitalipa. Sio kunidanganya nakufanya uhuni wa kipumbavu unakunywa Maji non stop chupa tano Kwa dk...
16 Reactions
46 Replies
2K Views
Habari wakuu, Hapa nilipo nimejaa kitete siyo poa. Yaani hata sielewi, ingawa maamuzi niliyoyachukua nilishauriana na moyo wangu nikaridhika, lakini still nafsi inanisuta. Nimeuza kiwanja changu...
10 Reactions
116 Replies
3K Views
Video hii ilipigwa huko Melbourne Australia. Kijana wa Kiarabu aliposhuka kwenye kibakuli (Baby Walker) na kuanza kumchimbia mkwara mbuzi Mzungu ambaye alisimama na kumpotezea kwa kuweka tu mikono...
2 Reactions
1 Replies
390 Views
Yaani leo hata sijui siku itaishaje na sijui kesho siku itaanzaje, maisha haya yasikieni tu. Sometimes mpaka nawaza kujitumbukiza baharini tu, bora iende. Dah!
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Tafadhali kutokana na nyie kila mara (kwa upendo na mapenzi yenu nami) mnaamua kueleza hisia zenu kwangu na kunisifia na kuishia kuhusishwa nami kuwa hizo ID's zenu ni zangu (mimi GENTAMYCINE)...
3 Reactions
23 Replies
950 Views
Wakuu habari zenu. Leo chupi chupi nimeponea kudhalilika. Kwa kweli kwa sasa napitia kipindi cha changamoto kidogo ukizingatia kwamba shemeji yenu yeye ana support Russia na mimi nipo upande wa...
3 Reactions
0 Replies
488 Views
Kipi kitakupata endapo ukiamua kuishi maisha yako bila kumuongelea mtu? kuna watu wanaongea sana hadi wanatukwaza sisi (introvert). Ifike hatua tujifunze kukaa kimya. Hamchoki?
3 Reactions
7 Replies
406 Views
Back
Top Bottom