Jf ni jukwaa lililojaa kina aina ya radha na burudani, sema kwa sasa kuna baadhi ya wajinga wachache ambao wana taka kuigeuza kuwa jukwaa la kutukanana na kukashifiana kwa misingi ya dini na...
Zaidi ya kusema niko Juu Ya mawe sijui msemo mwingine unaomaanisha nimeishiwa Hela.
Hebu nipeni msemo mkali zaidi ili nizidi kukwepa Vizinga wazee😅😅😂😂😂
Sikukuu ndio hizo zinakuja kwa kasi sana😎
Juzi kuna barua nilipeleka kwa kiongozi fulani ili atie sahihi yake;
kiukweli kila nikitizama mwandiko aliutumia hapa, naona ni kama amechafua barua yangu[emoji16]
yaani kaandika shagarabagala...
Haka kautafiti nimekafanya leo asubuhi hapa Kariakoo.
Both kwa ladies and gentlemen.
Ukitazama kiatu chake then umtazame sura yake unaona kabisa alistahili kuvaa kiatu hicho .
Hata kama kiatu...
Hamjambo,
Huwa nakereka sana pindi nimuonapo mwaume na Madevu yake amesiliba liTecno lake la vilaki vinne kwa makava na maprotekta.
Kama uko hapa na umesiliba liTecno lako hivyo nakutaka uondoe...
Jamaa wawili walikutana kwenye kituo cha basi wakafanya mazungumzo.
Mmoja aling'ang'ania kuzungumzia kero za familia yake hatimaye mwenzake akasema:- " Unadhani familia yako ina
matatizo?" Basi...
Mwaka wangu huu, nimepiga hat trick nipeni mpira wangu. Asante sana Monica, Alice na Somoe kwa kunizalia.
Sasa nimefikisha watoto 15, nashukuru kojo langu huwa halidanganyi, sura ngumu kama...
Wasukuma ni kabila kubwa katika makabila yaliyopo hapa Tanzania.
Na kwa bahati nzuri nina mke wa Kisukuma [emoji16]. ila hawa Wasukuma wasikie wakiwa na pesa ndugu zangu wa makabila mengine...
Ni usiku tena. Mambo mengi na pilikapilika za mchana zimekwisha. Tutakiane usiku mwema. Singles, tutulie kwenye rooms zetu. Huu si muda wa kwenda kusaka mbususu/mkuyenge mtaani. Fikiri mambo...
Tuwaambie ilipo au tuache kwa maslai ya Taifa letu.
Hivi kwa Hali ilivyo sasa kununua kichwa Kama hicho na behewa zake inaweza kugharimu kiasi gani.
Mie najua sehemu ilipo na mmiliki pia nabei...
Nilitafakari sana kichwa cha habari hii.
Nipo kwenye basi kama nivyosema hapo, nimekaa zangu siti za double nikiwa dirishani, akaingia mrembo pisi kali ya hatari.
Cha ajabu ikanikalia na miracle...
Nimekuwa mnywaji nisiye na kiasi, hivyo naona pombe siyo salama tena kwangu, hivyo kuanzia leo Jumatano tarehe 25 August 21 nimeamua kuacha pombe bye bye Safari lager
God is good all the time, All the time....(don moen).
Humu ndani kuna vijana wanatupiga za uso nyingi sana. Mpaka sasa nimeshawakariri members 21 (kwa Id zao), hawa watu ni waongo, ninaposema ni...
Habari za wakati huu expert mwenzangu[emoji4]
siku moja nitauliza ni kwanini tunaitwa "experts"
isije kuwa ni maexperts wa kuandika nyuzi[emoji23][emoji119]
..mnaokaa karibu na bahari, maziwa...
Wazee hivi hakuna namna ya kuishi tu hata kwa kipato duni ? Kweli mwanaume anajitoa ufaham angalau apate chochote kitu 😂😂😂. Mkulungwa Mushi hii sio sawa!!
Nina siku kadhaa hapa Moro ,si mwenyeji saaana,naomba wenyeji wanielekeze sehemu ya kutoka out na kutuliza mawazo ili kesho niwe na ari ya kupokea form za maombi ya sensa na kuzisaini pale ofisini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.