UTAFITI: Asilimia 70 ya vifo vya wanawake duniani vinatokanana ukatili wa majumbani.
Usaliti katika mapenz fedha, chakula na hamu ya mapenzi vimetajwa kuwa miongoni mwa sababu za kuwepo kwa...
Watu wengi hupendelea kurudi makwao, hasa kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
Wengi hurudi vijijini ambapo ndipo chimbuko lao lilipoanzia, ili kusherehekea kwa pamoja; wapo wanaochinja...
Mwaka X bwana Jioni Mida ya Saa Moja na Nusu ivi Niko zangu kwenye harakati za apa na pale.Kidogo kojo likanibana.
Nkaona kwenda toi nilipie mia2 jau wakati kuna uchochoro nakojoa Bure. Muhuni...
Habari wakuu.....
Hii iwe Ni Special Thread Ya Vita Ya Wanaume Wa Dar Na Wanaume Wa Mikoan
Hapa tupigane vijembe tusemezane Na
Utani mwingi
kira mtu Atete upande wake kwa Hoja, Vijembe...
Kwema wadau?
Kutokana na ubize wa Maisha nilionao, ni jana tu ndio nilipata nafasi ya kwenda kushuhudia michuano ya kombe la dunia kwenye uwanja wa Khalifa International Stadium licha ya kuwepo...
Jana nimeingia pande za dance club sijaona hata mtu ambaye anazungusha round kila mtu kabia kimoja tu, nikawanajisemea mwenyewe kweli hali tete. Basi nikaagiza mchemsho mbili na round mbili za...
Wakuu nilipita katika pwani ya bahari nikaona kijana amebeba kasia nikampa elfu tano akaniuzia.
Naweza kulitumia hili kupata ajira pale airport niwe nawafungulia milango ya ndege?
Wale ambao tutafika mbinguni tukiwa tumechoka tukutane hapa
1. Kumnyandua mke wa mjomba tumbo moja na mama,staisahau hii dhambi, Mjomba aliniomba nimpe kampani mke wake wakati akiwa amesafiri...
Kila mtu huwa anaota na inawezekana kuna wakati mtu unaeza pitisha siku kadhaa hujaota, unalala muda fulani na kushangaa paap, ushaamka.
Sema sasa kwa kweli kuna ndoto zingine ni uongo...
Gone are the days I used to hit the bottle like you. My untold addiction hardly made me push through. Been through sleepless nights and restless days, with nothing to do. Painful mockery from...
JamiiForums ni jamii moja maridhawa mno, ambamo watu watakuonyesha tabia zao halisi zaidi ukilinganisha na jamii nyingine za mtandaoni.
Kwasababu wengi wanatumia majina kificho na picha kificho...
Si ni life..
Nyakati kama hizi wapo wanaelekea kulala au wamelala tayari.. Wengine wamelala kama panga,
Wengine wapo na wapenzi wao wanapasha vitanda joto. Wengine baridi inagonga kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.