cute love, To yeye, Miss Natafuta, Evelyn Salt, Flowerpot Ndindwa hivi hii imeshawahi kuwatokea?
Je ni kwa uwezo wako binafsi, uwezo wa mshughulikaji au ni sababu ya kabila lako?
Mtasema nifate maisha yangu hilo naunga mkono ila ushauri ni kitu muhimu na haukwepeki ndio mana Elon na utajiri wake ameomba ushauri ajihuzuru utendaji mkuu au abaki. Iko hivi ndugu zangu kule...
I still remember the first day u replied my Pm was the day I realized how important your in my Life.
You became the true definition of the Friendship.
Moving closer to you made me realize that...
Watu wajf mseme mtu vizuri na mpe like yake. Mie ninao wengi nawapa team yote ya JamiiForums heri ya mwaka mpya kuanzia director, manager na wafanyakazi wote wa JF.
ERoni , Glenn DeepPond...
Wadau vipi ka salary ka mwezi huu wa pesa hazitoshi.
Wenzangu mmekaona? Tuambizane maana hapa nina buku tu la bodaboda kunipeleka kwa ATM.
Nikizikoswa ndo yatakuwa majanga zaidi.
Kwa walio na...
Nafanya kazi vijijin uko ndanindani somewhere in Tanzania, kwakweli ni sehemu ambayo hamna cha kuenjoy zaidi ya filamu na mpira tu nikitoka kazini.
Nafikiria likizo hii ya siku 10 ya mwisho wa...
Ni wimbo gani unahisi unafunga mwaka 2022 vizuri..
Majukwaa yote
Matusi au kejeri au dhihaka haziruhusiwi
twendeeeeeee ENTERTAINMENT
mshindi ni comment ya mwisho au itakayokuwa na maombi...
Na selelereka nayo
Mimi sijawahi fika Kigoma na sina mpango wa kufika pia sijawahi fika Tabora na sina mpango wa kufika.
Najutia sana kufika Arusha maana ni mkoa choka mbaya kishenzi, nilitupa...
Sio lazima utaje kazi au shughuli yako. Ila mimi binafsi nawashukuru wakazi wa jiji la mbeya maana ndipo nilipotokea kimaisha baada ya kupuyanga na kuchochola saaaaaaana. Salute kwà mbeya na Wana...
Suala la kuoa na kuolewa limekuwa gumzo na muda mwingine kuleta mtazamo tofauti katika jamii.
Sio mara moja au mbili umesikia kuwa wachumba wameshindwa kuoana kwa sababu familia moja ya mwanamke...
Nchi hii ina vijana na watu wengine wa hovyo sana. Saivi kila mtu ni 'Mkuu'! For what?![emoji205]
Mtu akipewa dili/ramani/offer/tip basi lazima amuite mtu MKUU!
Asante Mkuu!
Ndiyo Mkuu!
Sawa...
Hiki ni kikao kitakachohusisha makundi yote ya wanaume hapa nchini isipokuwa wale walioleft. Hapa nazungumzia wanaume mabahili, wenye madeni madogo na makubwa, wenye michepuko, wenye watoto zaidi...
Nimekaa palee nasubiri mshahara utoke nimtumie mayele hela ya mafuta unbeaten kisha ninunue k vant bwaku nimekaa paleee wakuteseka acha wateseke.
Kesho ndo nianze kulipa madeni ya watu je wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.