JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ndugu zangu sikujua kuwa jina langu lina ukakasi humu Kuna wakati nilikua napata mashambulizi ya maneno humu na shutuma za uwongo uwongo. Nikajiuliza kulikoni?Leo ndo nimejua ukweli Maana...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Huku kuna dimples kule kuna diastema ukipenda uite mwanya kazi ni kwako
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Ukimaliza mwaka ukiwa mzima wa afya ni jambo la kushukuru mungu. Waliotutoka ni wengi na hatujui kesho yake nani anafata. Maisha haya tuliyokuwepo nayo ni ya kuhesabu mda wowote yanaweza...
4 Reactions
10 Replies
766 Views
vibertz, Tate Mkuu, Isanga family na OKW BOBAN SUNZU nasikia mna Suti Kali sana naomba Mmoja wenu aniazime ili nivae Siku ya Kupokea Tuzo yangu ya Ushindi Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa...
8 Reactions
30 Replies
1K Views
Miaka ya 90 watu kutoka mikoani ilikuwa kivutio kikubwa sana cha wageni kutoka pande zote mkoani kuja kupiga picha. Ilikuwa rahaa kwa watu wa mkoa wataonekanaje kwamba wapo Dar. Ila hata wa...
3 Reactions
2 Replies
597 Views
Hunijui sikujui. Huo ndio ukweli, nyie vijana mnaofuga ndevu kama fashion ya kileo mjini hamna pesa. Kazi yenu kujichubua tu na kutongoza hovyo. Kwa kuwa wadada wa leo hawajui wanahitaji nini...
9 Reactions
67 Replies
2K Views
Mwana JF aliyeko Mkamba Kilombero tusalimiane Niko hpa Village Villa.
1 Reactions
11 Replies
416 Views
Mtoto akiwa ananyonya unakuwa tuu oky ila akinyonya baba ake mambo yanabadilika. Aki hii biology….!
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Si mtu tu aniambie I love you walau moyo utimke vumbi...
1 Reactions
17 Replies
789 Views
Ni miaka ya 2000/2001 huko wilayani kwetu jamaa mmoja aliyeitwa Ibu aliibua taharuki mtaani baada ya kubuni style ya kuwavutia wadada. Alikuwa akivaa shanga na kukatika viuno vya kiwango cha SGR...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Hello guys hope mko byee, wale tunaoelekea dodoma usiku huu karibu Tupite Didz, starpark, na samaki hapa morogoro tule bata za kimtindo, tufanye matumizi ya pesa, njoo ukinikuta una bill yako ya...
3 Reactions
45 Replies
3K Views
Mambo. Msifanye ubaya, naomba nishiriki siku ya kutolewa na kupokewa tuzo wale washindi tuliowachagua. Natamani kumwona Mshana je, Bjbj, GENTAMYCINE na wengine
2 Reactions
9 Replies
400 Views
Hiki ndio huwa kinawatokea watu wengi kwenye love connect sema hawataki kusema ukweli [emoji1427] Tunaomba shuhuda zenu Tafadhali [emoji1427][emoji848]
7 Reactions
62 Replies
3K Views
Unakuta mtu anakuja anashida ya kipepo na majini wachafu au kafungwa kiushirikina anakuja kama malaika pm anaomba msaada anapatiwa akishakuwa sawa. Sasa anaanza kunirudia nakunidhihaki Kwa sana...
9 Reactions
123 Replies
3K Views
1. Gari Mercedes Benz new Model 2. Simu Kali kama anayoitumia Rais wa Marekani Biden 3. Kiwanja atakakochagua Yeye 4. Kwenda Kupumzika na Wanyama Serengeti National Park 5. Ofa ya kwenda...
12 Reactions
41 Replies
1K Views
Naomba mkiwa mnausikiliza huku mkiwa mmenuna mjipige Makofi Makali.ya Usoni mjiongezee Maumivu sawa?
0 Reactions
1 Replies
271 Views
Zamani kidogo tulienda kuwinda na wazee wa makamo wanne. Kwakuwa mimi nilikuwa mdogo nikaambiwa kazi yangu ni kumpiga kabali/roba mnyama wakishatamka neno "TAYARI". Kisha wao watasogea na...
3 Reactions
3 Replies
456 Views
Ndugu zangu kulingana na huu ukata wa maisha nimeshindwa kuambatana na ndugu zangu kuelekea mgombani kula sikukuu naombeni nyinyi mlioko Dodoma mnialike nije kula ubwabwa.
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Maisha ya Sunday school yalikuwa raha sana, pamoja na raha zake kulikuwa na vituko na vioja vya hapa na pale. Mimi nilikuwa na allergy na mama mmoja hivi, yeye alikuwa kiwaki sana akitusalisha...
1 Reactions
1 Replies
639 Views
Iv kweli ananipenda au muongo tyuu😂🤷 Naombeni ushauri wenu
1 Reactions
12 Replies
436 Views
Back
Top Bottom