Hahahaaa mwenzenu si nikatajwa Kwa midoido yote na vouda kujipendekeza huko wakajibetua Kuniwishi Birthday eti Fulani bini Mwanzenzele Rugaimukamu we wish you a happy birthday ndio ntahamaki...
1. Never shake a man’s hand sitting down.
2. Don’t enter a pool by the stairs.
3. The man at the BBQ Grill is the closest thing to a king.
4. In a negotiation, never make the first offer.
5...
Habari za jioni bandugu ?
Ukiwa unaelekea maghettoni/nyumbani/ kwa shemeji au popote pale kwa ajili ya kuupumzisha mwili baada ya shughuli za leo nataka uniambie ni mzaha sio mzaha?
Kwa utaani...
Usipende kuharibu maisha ya watu.usipende kumfanyia mtu kibaya ila niliweka kando maumivu na mateso uliyonipa kwenye utafutaji.
Labda bila wewe nisingekuwa hapa au bila wewe ilikuwa kusudi kwa...
Habari za wakati huu,
mimi ni mtu mzima,
leo kwa mara ya kwanza kabisa nimeota nimefungwa jela miaka 30
kwa kosa la kumpa mimba mwanafunzi[emoji848]
huyo mwanafunzi mwenyewe hata simkumbuki...
Habari za wakati huu,
Jamani kuna unene mwingne unatuweka katika wakati mgumu sana aise!
Juzi kati hapa kaja jamaa fulani kununua nguo, mnene kwelikweli. Basi nguo alizohitaji, hakupata size...
Niende moja kwa moja.
Majina ya wadada au wanawake wanaotumia Jina hili wanatabia zipi. Wakuu hembu tuone maana Nina experience mbaya.
1. Aisha. Katika utukufunwake mtume S.A.W Jina Aisha Lina...
Jamani kulingana na msimu huu wa sikukuu naomba nitoe zawadi Kwa dada's Sasa Kwa heshima naomba aliyekaribu na bwana maulidi kitenge amwambie huyu Dada aliyenaye karibu naomba namna zake asanteni
Urevuka!
Yaani ni aibu sana unafanya matukio, unafanya ujinga mtaani na kwa jamii kisha kutoka nje unaona aibu. Ni upuuzi Sana.
Jamaniee wakati fulani unafanya upuuzi then unaogopa kutembea...
Kuelekea msimu wa christmas tayari wachaga wameshaingizana Maeneo ya kwao huko. Tujiandae na sikukuu ya mwaka huu itafana sana baada ya michongo yao kuachiwa free now.
Watu wako busy sana na kufuatilia maisha na taarifa za watu. Muda ni rasilimali adhimu tena adimu. Muda ukikuacha huwezi kuupata tena.
Kwanini unahangaika na maisha ya watu? Jali muda wako na...
Write off the back ma bwoy got dollars
So women come frequent like flight mile age,today aint no secret babe i might holla, but i aint gonna switch ya babe amma letcha catcha with ur game run...
Haika Ruwa,
Wachaga wote wa Rombo, Marangu, kirua vunjo, Wakibosho Wamachame, wa Huru wa Hai na pande zote, ikifika mwisho wa mwaka swali la kwanza ambalo tunajiuliza ni je, tumefikia malengo...
Salute comrades,
Nimefikiria kuanzisha hii chat kwa wale tunaolala saa nane usiku(2 am) au kuamka saa kumi na moja alfajiri (5 am) sababu ya majukumu mbalimbali ili tuweze kushare vitu mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.