Wakuu
Kuna rhumba ikipigwa huku ukiwa unapata beer, wine, au spirits unahisi raha zote ziko juu yako,
Upande wangu nikiwa sehemu ya wazi kabisa huku naangalia maji ya bahari au ziwa huku upepo...
Habari zenu wana JF.
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu, dhumuni la Uzi huu ni kupeana Facts au kujuzana mambo mbalimbali yanaweza kuwa ya kustaajabisha au la lakini hapo tunakuwa na...
Nimekuwa na trend ya kuja Zanziba kila wakati kwa majukumu mbalimbali.Changamoto kubwa huku ni bei ya hotel ambayo mara zote..minimum ni TZS 60,000 ambayo ni Hotel ya kawaida kabisa.Sasa juzi...
Mtu unaandika "I play four you" halafu unaweka public kabisaaa?
Na bado unatembea kifua mbereeee..(in Maguz tone)
Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
Wanawake kuna muda mnakua hamjielew nini hasa mnataka,na ifike mahala tumalize baadhi ya mijadala iloyokua inajirudia humu jukwaa la MMU,
Naomba mnyooshe maelezo apa kabla hatujavuka mwaka tujue...
Ewe msomaj wa JF naomba uniambie kati ya furaha na pesa kipi ni sababu ya kupatikana kwa mwenzake?
Kwa maana je, furaha ni sababu ya kupata pesa au pesa ni sababu ya kupata furaha?
Naomba...
Namshukuru Mungu Kwa uzima. Hii ilikuwa ni moja ya ndoto zangu siku nifanikiwe kufanya mapenzi na wanawake wote wa Familia moja pamoja na ndugu zao wote wa tumbo moja Jana nimefikia nusu ya haya...
Acha niwape vidonge vy kutuliz complain.
Raha nadekezwa
Raha na enjoy.
Kupendwa Raha.
_ssssss yan DUNIA nzima n yy 2 ata nkifa nizikw n picha yakee yeye[emoji35][emoji35]
Amin kuwa Mungu ndie kila kitu bila yeye, wewe usingelikuwa hapo
Mrudie muumba wako maana siku za mwanadam aliyezaliwa na mwanamke ni chache na Zimejaa taabu ndani yake amini kila amwaminie...
Mmm kweli ukistaajabu ya Firauni utayaona ya Yuda kujinyonga.
Mambo mengi hutokea; kujali, kusalitiwa, chuki, wivu. Tazama mpezi unanipa furaha, mzuri wa Dunia nzima. Usiende mbali sana uwepo...
Niwe mkweli hivi makusudi ya Mungu kutuumba sisi wanaume na ubabaifu wa macho, au ni mimi tu mwenye macho ya Ndoige sieleweki vybez zangu ni zipi white Ndoige, dark Ndoige, nundu Ndoige, mshepu...
Kuna kipindi fulani mida ya usiku nimelala, ghafla juu yangu nikaona nuru nyeupee imeniwakia na sauti ikaanza kuongea, huwezi amini ile lugha sikuielewa.
Siku nyingine nimewahi kulala mida saa...
Habari wakuu! Naimani mu wazima, kwa wenye changamoto, Mungu awafanyie wepesi.
Niende moja kwa moja kwenye hoja. Kuna hii tabia ya mtu anapokuwa baduni anaoga inakera sana! Yaani akiingia yeye...
Nilitafuna mchepuko flan sasa manzi wangu akagundua baada ya sms kuonesha nilikuwa mahala na mchepuko.
Akachukua simu yangu na akaupigia na kuupiga biti baya.
Ili nisamehewe nimeambiwa nikiri...
Katika shule/chuo hakosekani mwalimu msumbufu na ambaye huwafuatilia sana wanafunzi hata ktk mambo madogo madogo na kuwapa adhabu za ajabu ajabu.
Leo nataka tuwakumbuke walimu hawa pamoja na...
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu,
Kwa wale mnaopenda kusafiri kama mimi, nitajie stand/bus terminals zako bora ulizoziona.
Binafsi nimezipenda bus terminals za Kange -Tanga Mjini na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.