JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mwanamke wa kiafrika anayenyoa nywele au kutokusuka huwa analeta baraka ndani ya nyumba. Nywele fupi za mwanamke huwa zina baraka kubwa Sana kwake na mumewe.
3 Reactions
18 Replies
971 Views
Mimi siyo mganga kama MziziMkavu au Mshana Jr , mimi sina kinyongo kama Kitimoto pia mimi nipo timamu kabisa sina mizengwe kama Dj DON NALIMISON wala mimi siyo intelijensia kama Infantry Soldier...
7 Reactions
49 Replies
4K Views
A small village priest was very fond of the hens he kept in the hen house behind the parish rectory. He had a cock rooster and about a dozen hens. One Saturday evening, he noticed that the cock...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama umesoma shule moja/darasa moja au dawati moja na mtu maarufu hapa tanzania mtaje,
5 Reactions
459 Replies
44K Views
Naombeni msaada wakuu Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari za muda huu wanajamvi, hiki kitu muda mrefu nlikuwa najiuliza. Ina mana hata tukisema kuwa romantic ndo kujidekeza kulembua lembua bila sabab za msingi. Na kujikoroga na make up mezani...
3 Reactions
36 Replies
5K Views
Nimehamia huku Gongo la Mboto Huku maeneo gani au viwanja gani vimechangamka @Kazinabata
1 Reactions
16 Replies
6K Views
😁😁
2 Reactions
8 Replies
390 Views
Yani kuna ile siku hukua na kazi nyingi, mfukoni pako vizuri, jioni bia mbili hivi uhakika.. by saa moja umeisha ingia bafuni, unaweka mwili safi, then unatupia unyama flani hivi ambao huwa...
8 Reactions
28 Replies
1K Views
Umetumia takribani 75% ya kifurushi chako cha Wiki. Salio la intaneti ni MB 251. Kujua salio lako lote tafadhali piga namba *102*01#. Asante! Nacheka, ila huu ujumbe unakera sana...
4 Reactions
12 Replies
578 Views
Hi
Hi
8 Reactions
35 Replies
1K Views
Ningependa kuuliza swali. Je, huwa una post nini kwenye account yako ya jamii? Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
0 Reactions
5 Replies
406 Views
Big up kwako mpishi wa hii beer pendwa. Tangu wiki hii wanywaji tumegundua kuna mabadiliko makubwa sana katika ladha. Ni nzuri na ni laini vizuri kabisa. Endeleeni hapo. Kuna kipindi ladha ilianza...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Juzi amenibadilishia gari. Mpeni hongera mjomba wenu amejipinda si haba. Naomba wenye makasiriko msicomment. Hapa ni furaha tu chuki, masononeko, hasira, wivu havihitajiki. Ni mimi shangazi...
18 Reactions
103 Replies
5K Views
Sometimes is to refresh mind with existing facts
4 Reactions
246 Replies
10K Views
Ila ckuiz kuokota mgwanja Ni ishu Sana.Watu ckuiz si rahisi watembee na liquid cash mifukoni mwao, wanatumia E- wallets kuhifadhi hela zao. Ila miaka ya nyuma kdgo ilikuwa rahisi Sana kwa mtu...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Namtafuta ndugu yangu jidu la mabambasi au jidu reli popote ulipo...ukiupata ujumbe huu popote pale nitafute
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wadau. Nina wasiwasi hapa Leo usiku nilimpa nakozi paka anakula kuku wangu asubuhi mmiliki wake yu hoi watu wamejaa kwake. Paka nilimzika chooni.
11 Reactions
45 Replies
2K Views
Kutokana na mizunguko yangu mikoa kadhaa hapa nchini nimebaini mambo ambayo wengi hawayajui. Nianzie morogoro huko nilikuwa club moja inaitwa nyumbani pub.wadada wazuri sana,short time ni elfu...
13 Reactions
284 Replies
80K Views
Huu ni uzi wa kuelezea tu kuhusu mambo local yanayoonekana kuwa yana asilimia flani za ukweli. 1.Ukiwa unaenda safari kumuona mtu njiani ukakutana na mwanamke hakika mtu unaemfuata kumuona...
0 Reactions
8 Replies
545 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…