Wapendwa sana wana JF,hbr za siku nyingi?,Km mada inavyojieleza,naomba kila mmoja wetu ataje jina la basi ambalo huwa anapenda kulitumia pindi atokapo Jiji la Dar es Salaam kwenda mikoani,nasi...
Ipi ilikuwa sababu ya kutengenezwa na kuvaliwa wigi kwa mara ya kwanza?
Tai ilianza kuvaliwa kwa sababu zipi?
Mwanzo wa binadamu kufunga ndoa na kufanya harusi ulikuwa lini na sababu zilikuwa zipi?
Yaani, hamna kitu kilichokuwa kinatisha watu kama kukaa mbele ya darasa na huelewi yale anayofundisha mwalimu halafu anakuchagua kujibu swali na hauliwezi na ukigeuka kuna kiboko cha mpera😂😂...
Humu JF hakuna kiashiria chochote kutambulisha wakongwe. Sasa tutambuane wakongwe wenzangu ambao tunazaidi ya miaka 10 tangu kujiunga JF.
Comment chochote kwenye uzi huu kama unaangalau miaka 10...
Baaada ya kimya cha miaka kadhaa .
nimerudi wakuu. JF ni nyumbani, ingawa sikushiriki mijadala lakini nimekuwa mfuatiliaji wa hapa na pale kipindi chote hicho.
Nawakumbuka hawa ndugu zangu .Mkuu...
Habari za wakati huu
Katika utoto wangu nilikuwa mfuatiliaji mkubwa sana wa katuni hasa Tom & Jerry lakini kwa jinsi watu wanavyoiongezea manjonjo kwa sasa nabaki kufurahi tu.
Nyingine...
Jamani kama kichwa chauzi kinavyojieleza maana hata kitaani siyaoni au zama zimebadilika maana kipindi kile tulikuwa tunagongana kitaa! Vipi sasa siwaoni au wameolewa?
Ukubwani nimewamiss...
Aise Kama utani vile nakuwa faza kinoma. Siku Kama ya leo miaka 28 iliyopita mwamba, jemedari, shujaa, mchizi, msela, Askari, kamanda nilizaliwa hahaha aise Nina mbwe mbwe kinyama 😂😂
Shabiki...
Ninajua kunawadau wengi sana ambao katika maisha yao watakuwa wamepitia pale Pugu Secondary School kama wanafunzi, wafanyakazi, wakazi etc. Wadau hawa sasahivi wametawanyika sehemu mbalimbali ya...
Binafsi ile ngoma ya Mb dogg latifah ilinivutia pisi moja matata kwa kipindi hicho mtoto wa kiirawq kutoka haidom. Ila alikuwa machepele sana macho juu juu mwisho wa siku nikamkuta mitaa flani...
Hasa hasa wanawake wa humu nawaomba sana mzidishe upendo kwa sis wanaume wa humu.
Ikitokea mwanaume wa humu kampenda binti wa humu apewe tunda haraka sana bila chenga chenga. Wanawake wa humu...
Kama unahisi kunamtu umemkwaza kwa namna yoyote ile au ulimkera kwa njia yoyote basi uzi huu utumie kumuomba msamaha ili maisha yaendelee! Maisha yenyewe ndio haya haya let's forgive, forget and...
Ana ujinga mwingi sana. Masters yake na uzuri basi anaona amemaliza kila kitu. Ana ujeuri na kiburi. Watu tunakaa hapa hatuna amani.
Maana imebidi nimuulize je shem akishindwa kuvumilia akaamua...
Mimi kama mwanaume halisi ninayejua majukumu yangu ni marufuku mke.
1. Uvaaji wa soksi na sedosi unaleta taafasiri mbaya sana.
2. Kujichubua na kutumia aina yoyote ya dawa za kubandilisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.