Leo ni weekend nani unampa salamu ili aenjoy weekend yake kutokana na maneno mazuri uliompa .
Mimi nawapa wote salamu wale wanaonikubali.
Weekend njema na ufurahie pia
Dahh sijui nianzie wapi...ila naomba kwanza nianze kwa kuwasalimia.
Basi bwana ....
Nimegundua kwamba nilikuwa nakosa vingi kwa kutokupajua mwanza.....yani ukiondoa dar es salaam naweza kusema...
Hello wana JF ktk tafiti mbalimbali zinaonyesha wazi majina tunayobatizwa au tunayopewa na wazazi hufanana na tabia ambazo tunakuwa nazo tukifika ukubwani.
Na hii hugundulika baada ya...
Wadau natumai nyote ni wazima wa afya, ningependa tujuzane kila mmoja ashare nasi starehe yake ni ipi ili kuwapa watu nafasi ya kujua starehe ni nini.
Binafsi starehe yangu ni kuiona familia...
Ukikutana na mbwa njiani kabondwa kaumizwa anatia huruma anataka umuhurumie. Chukua Jiwe lingine mbonde fukuza akafie mbele au kama unahuruma sana na mbwa muangalie tu then ongeza mwendo. Maana...
Siku za hivi karibuni katika kijiji cha Kizito mtaa wa Hakibebeki kulitokea jambo la ajabu sana ambapo kijana mmoja aitwae Kifo alisababisha kustopisha shughuli za watu wote na majirani wakaribu...
Mniwie radhi wakuu nimekuja kwa Anko hapa Mwanza nikaona hiki kidubwana kwenye Tv ningemwambia Anko ninawish kukipanda akaniambia ofisini kwao kipo atanipeleka kesho saa 10 jioni Naomba mawazo...
Kwanza mimi huwa najiulizaga, hivi mawazo yanatoka wapi? Inakuaje unatokea kuwaza tu mfano unawaza ngoja niandike uzi.
Japo sijapata jibu lakini naamini mawazo/thought are social influenced...
Habari Jf
Tulipokuwa watoto tulinyonya fluids toka tumboni in the womb tulipozaliwa tulinyonya kimiminika lactogen ya binadamu toka kwenye matiti.
Kuna mwenye hoja zaidi tukizingatia binadamu...
Asalaam alyeikum wana wa sensa..?
Hii dunia inamambo na watu wa kila namna, wengine sijui tujiweke kundi la namna gani..!
Weekend fulani hivi tulivu,mida ya saa sita usiku nilikuwa bar fulani...
Wasalaam.... Naona makarani wanapiga chenga za kututembelea wakat tumewapikia na diko kabsa wasije kusingizia njaa, Binafsi kama mimi mzaliwa wa tanzania mwenyeji na mkazi wa R-chuga nlipenda niwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.