Siku ya inspection niliambiwa niinue locker ambalo lilikuwa fixed, tulikuwa hatujui basi tulikuwa watatu, jamaa wanatuambia wanyanyueni tunataka kufanya usafi hapo chini.
Tukajipinda daah! Mwisho...
Jamani nijuzeni mbinu ya kupata wachangiaji na likes nyingi jf endapo nitapost uzi wangu...tatamani kupata comment nyingi hata kumpita @rikboy kwenye ule uzi wake.
Nijuzeni jamani mimi ni mgeni...
Habari zenu my virtual family(JF)
Mara kadhaa huwa nikienda kununua vifaa vya electronics huwa nawakuta wauzaji wanawake...(probably nawafuataga sijui ila iko hivyo) ila sasa wana katabia ka...
Habari ndugu wanaJF,
Kwa Leo naomba nianze na Visa viwili,
Ingawa vipo vingi nilivyoshuhudia kuhusu watu kukosa uaminifu kutokana na mambo ya fedha,
1.mwaka 2004 nikiwa chuoni wilaya fulani...
Hakuna mtu alikuwa na dingi mkali kanda ya kati kama mimi.
Yani Tabora, Dodoma na Singida nna uhakika mzee wangu ndio alikuwa mzee mkali kuanzia miaka ya 1976 mpaka alipofariki mwaka 1997.
Mzee...
Amani ya mola iwe juu yenu nyoote.
Ni jumapili tulivu kabisa yenye kila dalili ya kuwa siku njema na hali ya hewa ya kupendeza.
Nawakaribisha kwenye mchuano huu mkali wa hoja na kunadi Sera zao...
Hello wakuu,
Habari ya weekend, hivi ni taarifa gani nzuri ulishawahi kupata ukaishia kumshukuru Muumba, Mimi nakumbuka kwenye matokeo ya std 7 st Kayumba, nilichaguliwa kidato cha kwanza kwenda...
Amani ya bwana iwe nanyi nyote! [emoji137]
Guys, once upon a time milongo kadhaa ilopita alizaliwa mwanaume mmoja makini, mtanashati na matttatta sanaaaaaaa. Hendisamu boi huyo siku kama ya leo...
Sina mengi ila chukua coca moja na beer Guinness smooth mbili, hautajutia kamwe ni raha sana. Wachache watanielewa, sitaongeza nyama tujiongeza kula vizuri kunywa kiasi
Nina mda sasa natumia simu zangu bila kuweka kava yani inafika wakati naona kama kuweka kava ni ushamba flani.
Imagine watu wamekaa Apple huko wame design product yao wamekubaliana na muonekano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.