Nimekuwa napata shida sana.
Hasa unaenda toilet ambayo haina tishu zaidi ya maji tu.
Siku moja nikatawaza nivaa suruali nikaenda kukaa, baada ya muda nikajikuta suruali imelowa na yale majimaji...
Hebu fikiria chupi imefuliwa hali yake ndio ivyo. Je huyo mwenye chupi anafananaje.
We fikiria tu baadae ohh kimoja chali utapataje mood kwa msichana mchafu.
Wakuuuu poleni na majukum.
Ndugu yenu nimekuwa kikazi mkoani yapata miaka mwaka mmoja leo nimelejea jijini dar es salaam .
Ndugu zangu kipindi cha nyuma nimekula bata viwanja vilivyokuwa...
Wakuuu poleni na majukumu.
Ijumaa ntakuwa dodoma ndugu yenu naombeni location ya kiwanja cha bata chenye watoto classic kinachojaza toto zinacheza mziki mkubwa hapa makao makuu Dodoma...
Sijui pesa kuenda wapi,sina michepuko nina kagari na kapikipiki tu basi
Gunyumba hagujaisha kujenga
Je wewe ulishawahi kuishiwa kiasi cha kuona kizunguzungu halaf hata wa kumkopa kumkosa ?yaan...
Mko poa unakutana na manzi unampenda Sana unampa mahitaji yote Ila mechi hupewi lakin hapo hapo Kuna mchizi anakula free bila kutoa kitu imemtokea mwanangu mmoja
Wakuu habari?
Nategemea kwa kibali cha Allah nitakuwa na safari ya Newala toka jiji la Makala.
Je, ni mabasi yapi mazuri yanakwenda huko?
Nauli kiasi gani? Temeke sudan yapo?
Ahsanteni sana wote
Najua wanakwaya mtakuwa mmesharudi nyumbani baada ya ibada makanisani!hii pia unawahusu wale wote tulio wahi kuwa wanakwaya makanisani,tuka -staafu,staafishwa,fukuzwa nk ! Nahata washabiki na...
Meanwhile [emoji172][emoji169]
Italian Relationship:
1st day= Sex
2nd day= Sex again.
French Relationship:
1st day = movi & kiss
2nd day = Sex
3rd day = Sex again
British Relationship:
1 day=...
Wasalaam Tanga kunani ,sehemu inaitwa Kilima Mzinga, Tanga huko ni maarufu kwa wachimbaji wadogo wadogo wa dhahabu ila mazingira yale ndio yalinifanya kugundua kuwa kweli Tanzania ni kubwa aise!
Kumekuwa na utani mwingi juu ya walio na hela na wasiokuwa nazo. Sasa hapa huu uzi utakuwa maalumu kwa wenye hela kuwa motivate wasiokuwa nazo wazitafute kupitia quotes (nadhani ni misemo kwa...
Wakuu mko poa?
Za ndani kabisa inasemekana yule mzungu wa Simba Dejan Georgijevic kumbe alileta vifaa vya kuhesabia raia kwenye zoezi la sensa.
Hivyo Simba wakaamua kumdaka juu kwa juu ili...
Ndugu msomaji wasaaalaam [emoji120][emoji120][emoji120]
Naombe niombe radhi kua kichwa cha habari na maudhui yatakayopatikana hapa hayana uhusiano wowote ule[emoji16][emoji16][emoji16]. hata mimi...
Hili swali lilikuwa muhimu sana. Kwa nini?
Serikali ingejua kwa kiwango gani wanaume tunajitoa kusitiri wanawake wasioolewa au michepuko kwa kiasi gani,hii huenda ingesababisha mishahara yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.