Kama kichwa habari hapo juu
Nimenunua jiko la plate mbili seperatively yaan nimenunua kimoja kimoja.
Jiko lina wiki tu ndo limekuwa hivi.
Yaan vioo vikepasuka pasuka kwa pembeni.
Habari JF
Mimi ni mgeni hapa Dar es salaam. Sasa nimepata Bajaj kwa ajili ya Uber na bolt Ila mji siujui Sana.
Eneo ni Kariakoo Posta nk
Je, nitumie njia gani ili niujue mji kwa haraka
Ahsante...
Nimeomba namba Kwa pisi flan Kali kichiz ila sasa nilikuwa Niko vyombo nililewa vibaya mno, pisi iliniambia Huwa hainywi pombe, sasa washkaji naomba mnisaidie ile namba aliyonipa nilisahau ku-save...
Kwenye haya mambo hakuna haja ya salamu!
Mke wa Ngosha mmoja mweny asili ya kimanga mchanganyiko na wayao alinivutia Sana siku za mwanzo. Kadri tulivyozidi kuwa karibu mdomo ukachemsha.
Matamsh...
Linapokuja swala ku kudedicate music kwa umpendae.
Huwa unatumia mbinu gani kujua ni aina gani ya mziki anapenda umpendaye ili usije m boa kihisia juu yako.
Karibu kwa mawazo🎶
A woman takes a lover home during the day while her husband is at work.
Her 9 year old son comes home unexpectedly, sees them, and hides in the bedroom cupboard to watch. The woman's husband...
This is a bad one ...
First-year students at Med School were receiving their first anatomy class with a real dead human body. They all gathered around the surgery table with the body covered...
The biology class was asked to draw the female sex organ in an exam, one lady opened her legs to see, the boy next to her screamed: "Sir she's coping from the original...!".
baadhi ya vitu ambavyo wanaume wengi tunavifanya automatically na wanawake huwa hawaelewi kwanini tunafanya.
Unaweza ukaongezea kwenye hii list inayofuata:
1. Kwenda kwenye Matukio ya Michezo...
Nina muda mrefu sijaonekana jamvini, majukumu ni mengi sana. Kwa sasa mimi ni baba Gebbie, nastahili pongezi. Jumapili iliyopita baada ya ibada nilikuwa nasikiliza earphone.
Mke wangu alinifanyia...
Kuna muda unakuwa una waza kwamba hivi tangia nimezaliwa nimeshakutana na wanawake wangipi
mpaka umri ulio nao sasa hivi.. na ukisema uanze kuhesabu na vidole walahi unajikuta unarudia round
kibao...
Alikuwa mzuri. Ndiyo! Itoshe kusema Khadija alikuwa mzuri. Yap! Mchukue Hamisa ndio kimo chake. Rangi yake haihitaji ‘filta’ au ‘editingi’ wala ‘snap’. Sifa nyingine ni zake peke yake.
Kwa hapa...
Jamani Nani Mwenye Experience ya Kufanyiwa Massage na Hawa Wadada au Kampuni wanaopost Kwenye social Network....
Bei zao zikoje na Je Kuna Vitu vya ziada zaidi ya Massage?
"Oy babu Hauwezi shika milioni kumi au kutengeneza himaya Kubwa kibiashara bila kwenda KWA mganga kuchukua ndagu"
Unamwona Fulani ako na kidonda kisichopona ...
Mangi anae msukule ndani...
Believe it or not..Men are Everywhere!
-------------------------------------------------------------------------------------
Woman has Manin it;
Mrs. has Mr. in it;
Female has Malein it;
She has...
Wakati mfumuko wa bei ukiendelea kutuchapa kuna mengi pia ya kufurahia kwenye haya maisha....
Leo naanza weekend mapema kabisa, nikila ngoma moja ya hatari sana.....
Aliyesema msemo MUSIC IS LIFE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.