JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Tukio hili limetokea leo ..ilikua ni majira ya saa sita nimetoka kwetu mkuranga .nimekuja kumsalimia mtoto wa dada yangu hapa masaki. Ajabu nilipo fika tu katoto kake ka miaka saba kalinijia mbio...
26 Reactions
92 Replies
6K Views
Jamani kilimanjaro ni tamu ni wakati sasa wa serikali kufikiria kuiweka kwenye nembo ya taifaa naandika haya nikiwa upande flani huku kaskazini Niambieni huko kwenu B gani inakonga nyoyo chap...
1 Reactions
4 Replies
322 Views
1. Kulia muda mrefu sana baada ya kupigwa 2. Kutolia baada ya kupigwa 3. Kulia bila kupigwa 4. Kusimama mahali ambapo wazee wameketi 5. Kuketi wakati wazee wamesimama 6. Kutembea ovyo mahali...
2 Reactions
0 Replies
722 Views
Unaambiwa Ndani ya mahusiano yenu ya miaka minne kuna mwamba anatimiza miaka miwili humo humo So Kupanga Ni Kuchagua Wakuu [emoji2955][emoji2955]
1 Reactions
3 Replies
920 Views
Tumetoka mbali sana. Nakumbuka hapo kale tulikuwa tunasoma na vibatari na taa za chemli. Yaani unaweza kugombezwa umesoma ukamaliza mafuta ya taa. Nakumbuka tulikuwa tukipasi nguo na mkaa wa...
1 Reactions
1 Replies
333 Views
Huyu dada ukweli hua na mpenda saana. Yaani huyu nikimpata tu nagombea uraisi Tatizo tikitimaji ndo sina kabisa
0 Reactions
3 Replies
499 Views
Habari za jioni wakuu hongereni kwa kazi poleni kwa uchovu niende moja kwa moja kwenye point yangu ilionileta hapa.. Bila kupoteza muda kutokana na ku-participate kwa kila mmoja wetu humu jamvini...
2 Reactions
5 Replies
564 Views
Hua kina tajwa sana hapa mjini,hasa kwa wanadada.
1 Reactions
6 Replies
720 Views
Wadau kama nitakuwa nimewagusa sehemu mbaya mnisamehe tu ... Tunapofanya sensa mwaka huu naomba tusiishie tu kuhesabu watu. Tuendelee mbele kidogo. Tuhesabu watu wenye utimamu wa akili. Unaweza...
1 Reactions
6 Replies
627 Views
Yani kanipikia chakula kitamu hivi kinoma ili kunionyeshea tu, anamakusudi sana huyu dada na anajua kabisa niko single. Yaani na kanipakulia kiasi sawa na njaa yangu kabisa nikamaliza nimeshiba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu Kumekucha sasa ninyi ndio wa kuamua tujadili kipi kwa muda huu kabla ya kifungua kinywa. Mkisema tuwajadili CCM au tuwajadili CHADEMA au tuguse kidogo chama cha Hashimu Rungwe ni sawa tu...
0 Reactions
0 Replies
342 Views
Kwa kutambua hili nadhani ni heri wanaume wenzangu tuwe tu makini kwa kweli na hawa wanawake zetu. Sasa sina cha kushauri ila maamuzi yabaki binafsi kwa kila mtu. Uzi huu ni kwa udhamini wa...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari za mda huu wakuu, Kama mada inavojieleza,nimejikuta tu niko kwenye fukwe za coco beach nikitafakari weekend inavoishaisha. Wakuu hapa nilipo nashangashangaa (ke) zinazopita hakika kuna...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Ukiona mwanaume barabarani anakimbia (Joging) juwa nguvu kitandani zimeshuka anajaribu kujibust.. Ukiona mwanamke ujue anatafuta shepu matata namba 8..... Nimenukuu maneno ya mdau maeneo...
0 Reactions
6 Replies
892 Views
Leo ni July 15, Ni kumbukukizi ya siku ya kuzaliwa kwangu. Naomba Nichukue sekunde zako chache Tuwatakie wote waliozaliwa terehe kama ya leo kheri na fanaka tele katika maisha yao!
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Kama kawaida ya mabinti wa nchi yetu. Pale unapotaka kumchakata binti yule kwa mara ya kwanza, huwa kuna kaugumu anakuwa nako. Huwezi kwenda direct umwambie eti "njoo kwangu nikuchakate mbususu"...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Mzee 1 alifika kijijini akakuta Mtandao unapatikana vizuri tu. Akamwandkia mkewe sms, bahati mbaya akaituma kimakosa kwa mtu mwingine ambaye ni mwanamke mfiwa(Mjane). Alipokea sms asome maana...
2 Reactions
3 Replies
4K Views
Drake akiwa Mwanza, hapa kabla hajatoka. Itakumbukwa kuwa Drake ana ndugu zake maeneo ya Nyegezi
1 Reactions
4 Replies
760 Views
Back
Top Bottom