JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
[emoji1751][emoji134]Mwanamke wangu Alinipigia simu! Hello baby, nina njaa sana muda huu[emoji24][emoji24] [emoji117] samahani unaeza kuja kwangu muda huu [emoji536], na wakati unakuja naomba...
24 Reactions
39 Replies
3K Views
Husika na kichwa habari hapo juu kama kinavyojieleza.
5 Reactions
13 Replies
995 Views
Relax, sipo hapa kumkera mtu yeyote ni jambo la kufikilika tu Just imagine maeneo mbali mbali ya DSM yangekuwa ni jinsia ya kike unafikiri yangekuwa na tabia gani...? Ifuatayo ni analysis fupi...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kitu gani huwezi kusahau katika maisha ya JKT Changer yako pendwa wakati wote Unamkumbuka saameja wako wa kombania Naipenda sana kombania yangu wale A coy B coy na danger aloo ilikuwa high morali
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Ni Asubuhi nzuri yenye utulivu,kwani mwili uwa wenye nguvu ya kufanya kazi zaidi kwa wale wezetu wamachinga,wakulima,na ata wale wafanyakazi wa maofisini.Na hali ya hewa furani yenye kuvutia, kwa...
0 Reactions
5 Replies
634 Views
Habari nna rafiki zangu watatu ila nimekuja kugundua mmoja ni muongo sana ,mwingine ni mnafiki na wa mwisho ni Mmbea. Kati ya hawa ni yupi niwe nae makini sana?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanaume wameishi na malaya hadi wanaona kila mwanamke ni malaya. Sio wote ni malaya kuna watu hawajikombi kombi au kuvua chupi ovyoo kwa wanaume. Watu wanataka kuishi nawatu wenye...
6 Reactions
64 Replies
3K Views
Kama kweli Watanzania hatupendi kusoma vitabu, ina maana tunapenda kusomewa. Je, ni kweli? Na sisi tunakubali tuwe tunasomewa? Hakika, ndio maana tunapewa sana 'matango pori' na wale watu...
1 Reactions
11 Replies
545 Views
Naipenda sana Smartphone yangu inanipa kampani na kunifariji hasa katika kipindi hichi ambacho changamoto za maisha zinazidi kuongezeka.
8 Reactions
18 Replies
1K Views
Wanawake ni watu wa kutongozwa na wao pia huwa wanatongoza. Wanaume kibao tu huwa wanajua wanapigiwa wake zao lakini inabidi wakae kimya. Maisha ya ndoa au mahusiano ya muda mrefu yanachangamoto.
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Dawa ni ipi?
1 Reactions
14 Replies
570 Views
Demu unajuana naye wiki tu ashaunda group la birthday. Nahisi ni ujanja wa kukusanya vi ten vyetu akale bata.
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Huu ni uzi maalum kwa wazazi wa sasa na wa baadae kujulishana kuhusu faida na hasara za shule za sekondari ambazo zina wanafunzi wa jinsia moja. Hivyo mdau tunapenda kushirikishana mawili matatu...
3 Reactions
64 Replies
10K Views
Usijifanye huoni soma maelekezo hapo alafu tuambie maoni yenu [emoji38][emoji38]
9 Reactions
42 Replies
3K Views
Wakuu wenyeji wa singida ebu naomba mtusaidie sisi wageni vijiwe vya totoz, maake tumefika kipindi cha baridi sana.
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Hi! Sasa wanaume tumebaki wachache. Hivi kuna ulazima gani mwanaume kufanya au kuishi kwa mitindo ya kike? Mwanaume anasuka Mwanaume anavaa hereni Mwanaume anavaa suruali kama tight ya mwanamke...
2 Reactions
13 Replies
833 Views
Naomba kuuliza mahusiano ni vile mtu unajaribu kumuelewesha mwengine akupende au ni vile unajaribu kuishi vizuri na mtu ili mpendane.
1 Reactions
8 Replies
757 Views
Dunia nzima inaenda haja kubwa sasa jibu hapa wewe binafsi unatuma njia gani? 1. Gunzi 2. Mchanga 3. Maji mkono mavi 4. Preshawota 5. Pepa 6. Kochespa
1 Reactions
63 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu mliomo jamiiforum, members wa wazamani na wa sasa pia, natumaini mpo salama wote, ALHAMDULILAH, ni jambo la kushukuru. Sina mengi, nimekuja kuwasalimu! NAWAPENDENI SANA ENYI...
3 Reactions
6 Replies
523 Views
Back
Top Bottom