JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kwani nasema uongo ndugu zangu?........huwa wanasema sisi wanaume wafupi huwa hatujiamini...lakini nimekuja kugundua sifa hizi zifuatazo mwanaume mfupi akiwa nazo huwa zinamuongezea kujiamini au...
0 Reactions
4 Replies
443 Views
Habari ndugu wana jamvi. Binafsi napenda kuwapongeza kwa ujenzi wa taifa. Maana hata hizi bundle tunazonunua tunachangia uchumi kwa kiasi kikubwa Pia nimpongeze mama kwa kuupiga mwingi maana bila...
4 Reactions
75 Replies
6K Views
Mimi ni kijana wa miaka 23 huyu ndo mtoto wangu wa kwanza kutoka kwa mke wangu Mungu katujalia wa kike nimpatie jina gani zuri maana kazi ya kutafuta jina nimeachiwa mimi babaa
2 Reactions
79 Replies
10K Views
Kwa hii baridi inayoendelea nchini Ukute serikali ya SiSiEM Imekula hela ya joto 😂😂 Ni ajabu kuona dar leo hatutembei vifua wazi
5 Reactions
12 Replies
806 Views
cc bbade Show me your jigga let me see (Let me see) And let me see the woman that is with (That is with) I put a couple thousand Dollars on your wrist (Put on your wrist right now) Omo omo...
9 Reactions
37 Replies
2K Views
Him: How do you call an alligator in a vest. Me: An investigator. Sent using Jamii Forums mobile app
4 Reactions
31 Replies
2K Views
1=Mnyaturu-Aliyegonga hodi chooni? 2=Mgogo-Aliyeenda Dukani kuuliza Mbegu ya soda? 3=Muhaya-Aliyekula Hotelini akaosha vyombo? 4=Masai-Aliyemuamkia mtu kwenye Tv? 5=Msukuma-Aliyetoa laini...
0 Reactions
4 Replies
750 Views
Habari. Unakuta baba na mama wanagombea rimoti na watoto sebuleni dada wa kazi nae anataka kuangalia filamu kwaníni?
2 Reactions
18 Replies
700 Views
Hivi Kuna Ukweli Kwamba. Ukiachana na Mtu hamna haja ya kurudiana Coz it won't work by 100%?
0 Reactions
9 Replies
868 Views
Inakuwaje wanangu wanaJamiiForums Naombeni kuujua ukweli kuhusu hivi vioo kwa wale wajuzi, maana huwa nikijichekigi kwenye kioo najionaga mbavu sana Je hivi hizi image za kwenye vioo zinatoa...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Wandugu habari za kazi, Natumaini mpo poa na mnaendelea kuchapa kazi kwa maaendeleo ya taifa letu. Leo kumetokea kituko cha mwaka ofisi kwetu yaani mpaka dakika hii bado ni gumzo. Kuna mdada...
27 Reactions
520 Replies
84K Views
Jana baada ya mechi nafatilia Matokeo kwa njia ya Google sport wananiambia man u imeshinda. Nimetoka nashangilia kumbe uhalisia shoka moja mbuyu chini
0 Reactions
4 Replies
518 Views
It's time that both sides have to benefit from each other maana pesa zinatafutwa so if she ask for money ask her for a thing that is located between her legs.
9 Reactions
43 Replies
2K Views
Tafuta mjani, kinyonge kimoja cha ukwelii, kipulizee hadi kikukoloee vizuri Then Anza kusikiliza hii Ngoma ya Young Lunya' - Vitu Vingi. unyama mwingi sana 🔥 🔥
0 Reactions
4 Replies
395 Views
Kwa takribani miongo mitatu sasa JF imeendelea kuwa chimbo la maarifa tukufu kwa kila rika, yote ni kwa sababu kuwa humu ndani kuna watu mbalimbali kutoka katika kila kona ya dunia wengi wakiwa...
3 Reactions
32 Replies
6K Views
Niliona milima na mabonde wewe je?
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Huu utafiti umefanyika kwa watu wa umri wa miaka 20 hadi 30, mijini na vijijini. Wanaume, kwanini hampaki mafuta? Mnapaka usoni tu na mikononi lakini huko mnaacha. Whyy? Unakutana na mtu...
15 Reactions
411 Replies
38K Views
Mwanamke wa Dar huyu, Ana mtoto wa miaka 20 wa kiume (mwanae mkubwa), niliwahi kumsalimia i.e shikamoo! kipindi niko mgeni wa hili jiji, akanijibu, "Kampe mama yako, mi sijakuzaa, tena ukome, na...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Naomba kujua kuna bus Linalotoka Tanzania hadi Ghana
9 Reactions
67 Replies
4K Views
Kuna ile tabia ya rubani kutokupunguza speed akikaribia kwenye bamz, mnajikuta nyote mnapaishwa juu [emoji23][emoji23] Kuna ile tabia ya abiria waliokaa position za madirishani, muda wote...
0 Reactions
4 Replies
561 Views
Back
Top Bottom