Vijana tuwe makini kuna wanawake wanatumia miti shamba kuteka hisia za wanaume. Na ndugu yangu akiteka hisia zako. Utagharamia chochote kuhusu yeye bila wewe kujijua
Nisiwachoshe sanaaaaaaaa, ila kiufupi ndo nimetoka kifungoni.
Baada ya kutoka jela majuzi nimesikitishwa na baadhi ya taarifa ambazo nimekutana nazo. taarifa hiyo ni kuhusu mimba ya Nandy...
Umasikini sio sababu ya kuwa mchafu wala utajiri Sio kuwa na kila kitu hata kama hukihitaji. Hebu angalia hapo nyumbani kwako!
Vitu msivyovihitaji Leo wala kesho mmeweka vya nini? Umenunua...
Ngoja nikumbushie stori yangu niliyonusurika kukabwa na vibaka, basi bhana ilikua siku moja ya wikiendi mida ya saa tisa usiku nilikua natoka zangu kula bata, nipo kwenye gari kuelekea home sasa...
Wakuuuu habari na poleni na majukum.
Ndugu yenu baada ya msoto wa muda mrefu ijumaa ntakuwa Dar kwa ajili ya mapumzio .
Naombeni tujuzane viwanja vyenye watoto classic na mziki mkubwa nafikili...
Habari wadau,
Leo niko tabora mboka manyema kikazi
Naombeni mnijulishe kiwanja chenye watoto wakali kinachojaza hapa Tabora.
Natanguliza shukrani zangu za dhati
Wadau habari zenu, ndugu zangu ni muda wa mwaka sasa nikiwa kikazi mkoani.
Leo nimeingia jijini Dar es salaam hakika jiji linazidi kukua na kupendeza kila siku.
Wadau nisiwachoshe naombeni...
Wakuu habari,
Nimekaa nikawaza humu JF wengi tunatumia majina na profile pic zisizo halisi. Lakini nikawaza pia tunaweza kufanana na watu fulani mashuhuri kama wanasiasa, wana michezo, wanamuziki...
EBOOOO ENASEKETESHAAAAA SANA
Tafadhali rejea mada hapo juu, [emoji28][emoji28][emoji28]
Mimi msukule mzembe wiki hii katika pita pita zangu katika jiji hili la daslamu nikiwa nipo off kikazi...
... mwanamke mmoja mrembo kuliko wote Duniani. Mwanamke huyo aliwatesa sana wanaume kwa kupendelea sana........
(Endeleza stori hiyo, kila mtu aendeleze atakapoishia mwenzake)...
Tangazo muhimu kwa wote ukiona mumeo au mkeo ana simu mbili moja kubwa touch alafu ana kile kidogo maarufu kiswaswadu yes kiswaswadu kaaa nacho mbali mnooooooooo utakuja nishukuru usikiguse...
It's local bar Lakini naenjoy sana jamani, Kuna vibe fulani amazing jamani, kama Kuna mwana jf anyooshe mkono nanunua chochote.
Furaha ni kunywa na marafiki, furaha kulewa na marafiki.
Sisi ni...
Abiria wa shirika la ndege la Southwest Airlines aliyeshutumiwa kwa kupiga punyeto mara kadhaa wakati wa safari ya ndege kutoka Seattle kwenda Phoenix mwezi uliopita amehukumiwa kifungo cha siku...
Habari JF,
Dar es salaam ni Jiji lenye mambo mengi sana kuliko mikoa mingi na Majiji mengi Duniani
Binafsi nkiondoka Dar huwa namiss vingi sana ingawa vingine vibaya kama warembo wa usiku...
Tuko kwenye kizazi ambacho mdada ana-date na Frank kwa zaidi ya miaka mitano, shoga zake wanamjua Muddy, nyumbani kwao wanamjua Juma tangu shule.
Wakati huo amemtambulisha Ibra kwa shangazi yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.