JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu, kuna kademu kanapenda sana kuwasiliana na mimi japo kana mtu wake, ila kanapenda sana kunipigia pigia. Mara kanipige pige mabusu kwenye simu, sasa ni rafiki tu ananiambia yeye hawezi kuwa...
1 Reactions
13 Replies
506 Views
Leo nipo job hapa hamna kazi, mizigo imechelewa kutoka bandarini so leo kuchat tu..Sasa nikawa nawaza hivi binadamu tungekuwa tumegawanyika kama ilivyo weusi na weuspe katika muktadha wa kwenda...
0 Reactions
2 Replies
397 Views
Rafiki yangu nakupa ukweli japo ukitaka kuupinga Basi yes upinge kwa hapa town nimefanya tafiti wanywa bia wengi wa bar wanauza mwandu. Labda ubahatike mke anayekunywea nyumbani ila akienda bar...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kumbe Moshi, Kilimanjaro ndio kumewaka namna hii hakika hakuna mpinzani nimejaribu kutupia hapa vibweka vyake uploading imeshindikana ni hatari sana labda mnaweza kuchungulia insta, mimi ni mpenzi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Dark humor is a style of comedy that makes light of subject matter that is generally considered taboo, particularly subjects that are normally considered serious or painful to discuss. Writers...
6 Reactions
138 Replies
4K Views
Iko hivi, wanawake wengi wanamiliki wanaume wawili, Mwanaume wa pili anajua Kabisa kuwa huyo demu ana Mshikaji wake anakula pale (mpenzi, mchumba au mume), ila yule Mwamba wa kwanza anajua Yuko...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Jamani natafuta mchumba kuanzia miaka 20~22 anaejielewa.
0 Reactions
2 Replies
306 Views
Unaesoma post hii wewe ni mbwa koko
0 Reactions
2 Replies
335 Views
Wakuu Salama humu ndani. Nimekuwa member humu ndani ya JamiiForums kwa miaka Mingi na huwa najivunia Sana kuwa nimejifunza Mambo mengi Sana na kutatua migogoro Mingi ya kiimani, Kisheria na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna wadada kipindi nipo mdogo nilikuwa natamani saana kukutana nao live na wengine nilikuwa natamani saana kula njegere zao kabisa Ila nashukuru kuna ambao nimekutana nao na wengine nimekula...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakubwa kati ya hao masterplans nani unaweza kumuamini ili akutoroshe sehemu ulipo? Njoo utuambie
0 Reactions
18 Replies
642 Views
Huu ni uzi tofauti kidogo ..! Kama wewe ni mpenzi wa vikaragosi na nukuu kwenye ulimwengu wa nyota karibu Mdigo twende kazi
5 Reactions
417 Replies
17K Views
Habari wana JF.Addiction kwa kiswahili imenitoka kidogo. Ila nathubutu kusema nimeathiriwa na mitandao ya kijamii yaani hata mwaka hujapita toka nimeijua JF Ila sasa imeshaniathiri yaani muda...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Duuh yani baadhi ya vitu ni ngumu kuamini kuwa kuviacha ni janga la koo na ulimi soda ni moja ya vinywaji pendwa kwa watu ila baadhi ya watu wanashindwa kujitambua kuwa imeadhiri mfumo wao wa...
5 Reactions
90 Replies
5K Views
Wakuu tushtuane kale ka meseji kakiingia au mkiona msongamano usio wa kawaida kwenye ATM. Wasiohusika kaeni pembeni
8 Reactions
77 Replies
8K Views
Wakuu salaaam!! Straight to the point katika maisha ni bora sana ukiwafahamu watu tofauti ubaokutana nao katika shughuli mbalimbali za kimaisha... Binafsi katika swala la makabila napenda kujua...
1 Reactions
109 Replies
25K Views
Mada ipo wazi tuambie unatumia kiswaswadu gani na "mama yake" smart gani? Naanza mwenyewe Smart phone ni Samsung Note9 na kiswaswadu ni Nokia 3310
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Huyu jamaa ndio mwamba wa GOLDEN DEER [emoji1662][emoji1662][emoji1662] T 712 DPK anayezisumbua SCANIA za SAULI [emoji1631][emoji1631] za DAR - MBEYA - TUNDUMA Ametrend sana wiki hii akiwa na...
41 Reactions
429 Replies
48K Views
Wanawake mmesikia makubaliano ya kikao chetu cha mwisho? Hakuna kumuachia Mungu.... Mungu muachie hesabu malipo tulipane hapa hapa. 🤣🤣🤣🤣💃💃💃💃💃
5 Reactions
51 Replies
2K Views
Katika kutekeleza kauli ya Waziri wa Fedha, ya kututaka tuhamie Burundi kama hatuwezi kulipa tozo za miamala ya simu, jina lako la Burundi unaitwa nani? Mimi naitwa Renzoimana Barberashimiye.
18 Reactions
159 Replies
10K Views
Back
Top Bottom