Wakuu habarini za jioni na za weekend pia.
Natumai wengine mpo maeneo mkimwagilia mioyo kufurahia maisha,Leo nimekaa nimewaza ujasiri ambao mwanamke anao..
Ningumu sana hii kwa upande wetu wanaume...
Kwanza nianze kuwakaribisha wanywa Soda wenzangu kwenye hiki kikao chetu,
Ndugu wajumbe,kwanza nianze kwa kusema tumechelewa sana
1:Agenda ya kwanza ni Kufungua kikao
2:Agenda ya Pili ni Mzunguko...
Hamjamboni wanajamvi? Natumai mpo salama kbsa.
Huu uzi Ni maalum kwa ajili ya mama zetu.Tuchukue fursa hii kuwapongeza mama zetu kwa Yale mengi mazuri waliotufanyia mpaka tumefikia Hapa tulipo...
Katika maisha kuna mambo mengi sana ambayo unaweza ukawa unajiuliza hupati majibu na kuuliza unaogopa ebu tushirikishane kitu gani cha kijinga ulikuwa unajiuliza ukaja kupata jibu ukaishia...
Hivi ni kipi kinawazuia hawa waliojiita ni wakimbizi wa Kisiasa wasirudi Tanzania ?
Naona wanaona kama waliishi Bongo kwa Bahati mbaya tu ila kwa uzuri wa huko Ulaya ni bora waendelee kuishi huko...
Sawa wewe ndiye mtoa matumizi yote nyumbani. Ndiyo uwe dictator!
Mangapi mama anasaidia nyumbani...kukuzia watoto je? kama umewahi kuachwa na watoto nyumbani utaigundua kazi wanayoifanya hawa...
Kuna watu hatupendi wengine waonewe hivyo tunaingilia ingilia sana ugomvi wa watu. Magu anasema 'Kuwashwa washwa' anyway wakati mwingine show unayoiingilia jukwaa ni kubwa show ndefu halafu wewe...
WAPENDA UBISHI watatu walibishana kuwa nani amekubuhu kwa ubishi kati yao. Wakaamua kila mmoja AHADITHIE UBISHI aliomfanyia mkewe ili wapime nani kabobea zaidi kwenye fani.
MBISHI WA KWANZA...
Aisee hii kitu nilikuwa naionaga tu enzi hizo nikachukulia poa. Siku ya kwanza niliila nikameza mate nilijisikia kufa, nilibanwa na haja ndogo na kubwa wakati mmoja. Tangu siku hiyo nilikoma...
Aiseeeee habar wakuu
leo naona sabasaba pamejaa wakenya wengine hata kiswahili tutashuka nao ngeli mpaka kieleweke leo lazima washike ukuta
So wadau leo lazima kieleweke nipo na Zero IQ...
Kama kichwa cha habari kinavyoonyesha hapo juu katika harakati za kupata elimu kuna kukutana na watu wengi sana wakiwemo watoto watukutu, wakishua na wakati mwingine kujifunza tabia isiyo njema...
Hivi karibuni nimekuwa added kwenye ma group ya harusi na sendoff yapatayo kumi na wote hawa wakitarajia kufunga ndoa mwezi wa 11 mwaka huu.
Nimeshangaa tu kuona mwezi wa 11 mwaka huu kutakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.