Hivi wewe unapofikia hatua ukakosa cha kufanya, matumaini uliyokuwa nayo yakayeyuka, watu uliowategemea wamekuacha, kanisani unaogopa hata kukanyaga maana wanakudai sadaka ya ujenzi na michango...
Joni) dogo wa darasa la kwanza kafika shule akaanza kulalamika kwa mwalimu wake wa darasa kwamba la kwanza si saizi yake na anataka arushwe hadi darasa la tatu kwa maana anaamini ana akili...
Nime amua kuanzisha huu Uzi kulingana na fikra zangu na muda nilio kaa humu jamii forums nimegundua kunanawatu ni mastaa
Yaani waki anzisha Uzi au kuchangia mada za MTU wana kula likes sio mchezo...
Kwa wale ambao mmezoea kushiriki ngono bila kutumia Kinga chukueni ushauri ufuatao;
Pindi unapomaliza kushiriki tendo usirudi kuendelea kulala amka chap uwahi msalani kukojoa na kuosha uume wako...
Habari za majukumu wadau, ni matumaini yangu kuwa wote tumeonesha uzalendo kwa kushiriki vizuri zoezi la sensa 2022.
Dodoso za sensa zimenifanya nikumbuke visa nilivyowahi kukutana navyo...
Mimi ni moja ya watu wanaopenda sana kufatilia reaction katika mabandiko ya watu,huwa nikiona post imepata likes nyingi na kati ya hizo likes kuna ka dislike kamoja huwa napenda sana kujua ni nani...
Twende mbele na kurudi nyuma kipi bora
Kati ya kunywa soda moja kwa wiki, na Kunywa Bia nyingi kila baada ya siku ki afya ipi ni
Ni njia sahihi ya kuimarisha Afya
Nipo sehemu muda namsubiri...
Leo kuna machinga kapata ajali maeneo flan akiwa anavuka, japo makosa nilihisi ni ya kwake mwenda kwa miguu
Kwanza alikoswa kugongwa na gari, maaana mwenye gari alijaribu kumpisha japo gari...
Assume you meet your old schoolmate (a lady called Maggie) at a club and you are both drunk. Then you vibe and you offer to drop her home since she lives on your way.
You get Maggie to your car...
Daaah wakuu APA mtaani kwangu kuna pisi Kali imeamia anapokaa mshikaji wangu NAyo imepanga pale sasa Mimi uwa nakutana nayo sana nikienda kwa bro kumtembelea maana wanapanga nyumba moja sasa Mimi...
KISANGA
________
[emoji1593]visa vya bi mkubwa vilipo komaa akaona isiwe tabu akamtoa hamadi wake kipindoni aka tafuta chumba akapanga ,visa avikuwa kwake tu hata kwa baadhi ya vijana wenzake...
Wakuu,
Kumekuwa na nguvu kubwa sana kuwaaminisha watu kwamba Tanga ndipo hasa 'yalipozaliwa mapenzi' au kwa maana nyingine ndio makao makuu ya mapenzi hapa Tanzania.
Hii imekuwa ikichagizwa...
Wakuu nipo nchi jirani, nimeoga nimevaa vizuri sasa mda huu natafuta night club nzuri nikapoteze mda. Jiji la Kigali ndiyo mara yangu ya kwanza kuja. Hii miji ya watu sipendi kuparamia bila kupata...
Na hii ndiyo orodha kamili...ZINGATIA haya ni yale magari ya kampuni za Japan usibeze kwa kulinganisha na brands za Yuropa au USA bebi...haya wale timu Subaru jioneni hapo mpo namba ngapi.
Here...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.