PJ,
What I have said above is true and in reality I miss you. Please set your mind that; I will be coming to Arusha soon hopefully this December 2011 so that will meet.
Send my regards to all...
Niliingia duka moja kununua sandroz, bahati mbaya nilikuwa nimevaa viatu. katika harakati za kutaka kujaribisha nikavua viatu, nikazijaribisha zile sandroz nikiwa na soksi, nikawambia hizi ngozi...
Baada ya dawa hizi, hatunahaja na ma Doctor tena..
1. Kuumwa kichwa. Koroga vijiko vinane vya sukari katika maji ya fukuto unywe taratibu.
2. Maumivu ya viungo vya mwili. Chukua nusu...
Padri amekaa katika ki-box cha kuungamisha, kanisani hakuna mtu. Mara muumini mmoja akaingia, akapiga magoti upande wa pili na kufanya ishara ya msalaba akaanza kuungama.
Muumini: "padri...
Mie jamani huyu shoga yangu wala simwelewi. Mwanzoni mwa mwezi ulopita, alikuja kunazima vidani vyangu vya dhahabu ili kuhudhuria pamvu ya dada yake. Siku kadhaa baadae akaja kunambia kwamba...
Kuna jamaa mmoja kutoka bara baada ya kuingia jijini Dar, siku moja katika matembezi yake aliingia katika choo cha kulipia. Kwa vile alikuwa amekula ugali wa mtama, alishusha mzigo kimba la...
kwa wale wanaodate kupitia mitandao sasa hapo ndio mtu anakuambia mm niko na 27,engineer upande wa civil,ni mrefu wastani,sio mnee wala mwembamba so kama umemkubali yy anakutumia invitation uende...
****mamako!! Ni tusi lililo kwenye midomo ya watu wengi sana, wake kwa waume!Ivi mimi na wewe tumekoseana, kwa nini umtusi mama yangu?Icho unachokitukana kina uhusiana gani na ugomvi wetu?Someties...
Washawasha na NALOG OFF zake kwa kweli ni kama kichekesho fulani.
Akimaliza kuongeaaaaaaa NALOG OFF
Akimaliza kusomaaaaaaa NALOG OFF
Nadhan katika hali ya kawaida huwa anafanya hivyo, kama vile...
Nataka kujua SIFA za watoto wote wa kiume na kike ambao mimba zao zinatungwa wakati wazazi wao wakiwa kwenye Fungate la NDOA yaani (HONEYMOON), nipo kwenye ka UTAFITI kidogo nadhani Machi 2012...
Nimechunguz hawa New members wote naona ukiongelea kuhusu chama tawala na serikali yake Mishipa inawavutika je nauliza wamepandikizwa humu JF??na Magamba? nijulisheni au na wanaajamvi fuatilieni...
It is true that i love 'U'..
I love u..
I cant even explain how much i love U..
Haipiti siku without seeing U..
That is why making me to love 'U' forever..
I love not only 'U' but also i love...
Habari zenu wanajamvi ni hivi leo asubuhi nikiwa kituoni nasubiri 5 5 ili nielekee kazini,watu walikuwa wamesheheni kusubiri usafiri basi ghafla bin vuu akatokea chizi ana mshipa(bu sha) mkubwa na...
Wana JF naomba mnisaidie katika jambo hili, nimekuwa nikisikia watu wakatumia sana msemo huu kuwa ubaya hawakuzaliwa nao bali wamefundishwa na ulimwengu, je hii ni kweli?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.