JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Pamoja na kwamba shauri hili hivi sasa ni mchakato wa kimahakama ambao haustahili kujadiliwa kwa uwazi, lakini habari zilizopenyezwa zinadai kwamba fedha zilizokutwa zimelundikana katika akaunti...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wengi wetu hatutaishi kushuhudia siku,tarehe na mwaka vilivyo match namna hii
0 Reactions
3 Replies
1K Views
napenda sana picknik ila sijapata wapenzi wake mnanisaidiaje?
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Mimi ni mwanajamvi wa jf kwa id yangu ya "COMPLICATOR2011" , moderator wamenipiga bann ya maisha kwa kosa ambalo sitaki kulitaja hapa. Kwa kupitia ID hii ya rafiki yangu nawaombeni sana tena sana...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Priest: "Do u Deo, take TGIF, to be your lawfully wedded wife, through sickness and health, through good times and bad times, through cash-loaded-times and down-right-broke times?" Mabagala: "I...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani wana JM forum kumbe nasi tunaweza tukafanya party yetu ya mwaka, members tukutane tufahamiane. Jinsi party ya 8020 fashions ilivyofanikiwa hivi karibuni, itupe changamoto Mnaonaje wakuu...
0 Reactions
64 Replies
5K Views
Kibanga ampiga mkoloni,siku ya gulio katelelo,chopeko na mnofu, ndoto za kimweri....mnasoma kitabu huku mkipokezana? Mi ilikuwa miaka ya 1993 vp wewe?
0 Reactions
12 Replies
4K Views
yamekuwa ya shida sana, hasa hapa buguruni rosana, kila linalokua ama mwenge, au msasani. nimelazimika kuapanda hayo ya msasani ili nikaliunge pale moroko!
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kama ishawekwa hapa jukwaani,tuvumiliane.... A female CNN reporter was conducting an interview with a farmer about Mad Cow Disease. "Sir, do you have any idea what might be the cause of this...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani huu ni msala ambao nimeingia yaani ninajuta.Kweli huyu binti nilimpenda saana mpaka tumefanya ngono kama wk tatu zimepita,jana kaja nakuniambia ana mimba na kweli mimba anayo lkn binti huyu...
0 Reactions
98 Replies
9K Views
Jamani e,me nna swali eti zipi qualification zinazomfanya mtu kuwa moderator??.Kama vipi kuwe na uchaguzi kabisa na watu wagombee isije ikawa watu wanapewa umoderator kwa upendeleo. ps:msininukuu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
we are left with next year's 12.12.12 after this we aint gonna see this kind of numbers any more! Till 2101....
1 Reactions
41 Replies
3K Views
Sio kama napenda wikendi ifike ili nisifanye kazi, ila wikendi ndio wakati ambao tunapunguza sarakasi za nchi hii. Kwa mfano wiki hii imekuwa na sarakasi nyingi kwenye hii episode mpya ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Sijapata kuona,kuna mtoto yuko nzega ana umri wa miezi saba,cha kushangaza huwa alali mpka kuwe na kelele zwe za redio au umpeleke baa,sasa kwa bahat mbya jana kaugua alvyolekwa hosptal kulazwa...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
jamaa mmoja alikuwa anataka kuwa Lion Tamer (mchezo fulani wa kucheza na simba kwenye maonyeso) rafiki yake akamuuliza, basi ilikuwa hivi rafiki: je simba akiangusha ile stuli ndefu wanayopanda...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
  • Closed
Naona Invisible ameona akupe shavu la umoderator! Hii ni baada ya mimi kumsisitiza sana.
2 Reactions
61 Replies
4K Views
Katika bus mama mmoja altaka kumnyonyesha mtoto, mtoto akakataa, mama akamwambia 'nyonya km hutaki nampa anko anyonye' anko ni kaka mmoja ambae ni abiria aliekaa pembeni na huyo mama ,mtoto...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamaa m1 alikuwa anatembea na mke wa jirani,siku 1 mke wa jirani akamuita jamaa mida ya ucku ili wafanye matusi kwa sababu mumewe hakuwepo,wakati wanaendelea ku duu,jirani akarudi akawa anagonga...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Jamaa wanajifanya kwamba kuna mtu wa ulaya sijui ana matatizo atakufa baada ya muda kwa kansa anataka fedha zitumike hivi na vile amekuchagua wewe uidhinishe matumizi ya fedha hizo kana kwamba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu haya mambo ni kweli? kwamba watz watapimwa afya na kugongwa nembo ya tbs ! Habari hizi zimeenea sana hapa samunge. Eti, watanzania wengi afya mgogoro ndio maana wanajaa; loliondo, vituo vya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom