Haya mambo strolling na step shows nayamiss sana. Kwa kweli yana raha zake mtu ukiwa bado uko college. Furahia hizi strolls za AKA...
Alpha Kappa Alpha (2nd Round): 2010 Stroll Fest - YouTube...
Nimepita kituo cha daladala mida ya jioni na kuona makundi makubwa ya watu wakisubiri usafiri. Nikawaza hawa watu wote wanahitaji chakula na sehemu ya kulala.
Imenifanya nikajiuliza, je kama kabla...
Dear Mr.BillGates
This letter is from Masawe of Kibosho Moshi.
We have bought a computer for our home and we found problems, which I want to bring to your notice.
1. After connecting to...
I am just wondering why guys always think about sex? just wondering........
http://www.psychologytoday.com/blog/you-it/201106/do-men-really-think-about-sex-more-women
Nipo Mtekenyo bar naendelea kupiga kitu cha Castle Lager mara anakuja dada mmoja wa kiarabu na kukaa na mimi na kuanza kuniagizia bia kwa kwenda mbele. Nifanyeje ili kumkimbia kwasababu nahisi...
Jamani mwenzenu kuna house girl nampenda sana ila naona aibu kuweka wazi kwa marafiki zangu sababu tu ni hgirl?niweke wazi au niende kimyakimya tu?wadau?
IVI KUNA WATU WANAFANYA YAFUATAYO.
1. WANAOMBA MUNGU KABLA YA KUMEGA TUNDA NA WAKIMALIZA WANAMSHUKURU PIA.
2. WANATUNZA RECORD KILA WAKIKUTANA KIASI KWAMBA WANAWEZA KUJUA TOKA WAANZE WAMENANIHI...
Wana JF.
Naombeni mnisaidie jinsi ya kupata awa wanyama Simba na Tembo.
Nipo radhi kutoka kiasi chochote cha pesa, lakini sitaki wa wizi naombeni mnisadie wana JF wenzangu.
Mwenyewe kujua...
Kwa taarifa yako...............
Kabila linaloongoza Kwa kuwania madaraka hasa ya Urais Ni Wachagga!!
idadi ya watu waojifanya wamesoma na kikwete na wanafahamiana nae imeongezeka kwa asilimi 98...
Wateja wawili wakiwa hotelini wakisubiri huduma. [WAITER];Hello,naweza kuwahudumia? [MTEJA WA 1];Niletee juisi ya parachichi. [MTEJA WA 2];Nami pia nahitaji juisi ya parachichi,ila glasi iwe safi...
Teh teh teh teh .
michezo gani mnakumbua ya utotoni.
Kuna ule mchezo wa Nasaka mke wangu naska mke wangu......
A anasema : Nasaka mke wangu nasaka mke wangu uuuuuu
B wanajibu : Hapa hayupo...
Hivi karibuni ndugu zetu waislamu waliadhimisha sikukuu ya idd mubarak ijulikanayo kama sikukuu ya kuchinja. Kila msikiti ulichinja na kugawa nyama kwa wahumini wao. Kero imekuja baada ya baadhi...
Nimepata mwaliko wa mtoko weekend hii kutoka kwa kijana aliyekuwa akinitupia nyavu siku nyingi kidogo. Ni takriban miezi nane sasa tangu nitemane na my BF, baada ya kunitenda. Sasa nimeona nitoke...
Msomaji wa uzii huu picha yako nimeiona katika kipindi cha kumbukumbu tbc,cha watu ambao walikwisha fariki sasa sina uhakika kama ni wewe ,ila kama siyomewe nisamee kumbe duniani ni...
Tunapoelekea kufikisha miaka 50 tangu Uhuru wa Nchi hii, hebu tukumbushane matukio/jambo/suala/picha/kituko/vimbwanga iwe katika nyanja ya Burudani, Starehe, Michezo, kijamii ambayo kwa akili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.