Mke wa Frank anajivunia mume mtulivu, hashindi baa na hatongozi videmu. ****
Akitoka kazini huenda kucheza basketball na hurudi nyakati za dinner. Siku
moja mkewe akamhurumia. Anachoka na kazi...
Leo nimepita mitaa ya katikati ya Jiji nikaingia katika mgahawa mmoja na kukuta watu wakiwa na mjadala wa Lema kujipeleka Gerezani. Wengi wao walikuwa wanahoji kwamba tangu lini mwanaume...
MWANAMUME raia wa Marekani aliyekuwa na matatizo ya ugonjwa wa ngiri aliamua kujifanyia upasuaji kwa kujichana kwenye tumbo ili kutatua tatizo na kisha aliwasha sigara na kuchoma sehemu ya...
Hayo ni maneno yaliyotamkwa na wanafunzi wa kike waTanzania ambao ni marais, mawaziri, wabunge na viongozi watarajiwa wa kesho wa Tanzania. SOURCE: bbc swahili .
a married man goes to confessional and says to the priest,father,i had an affair with a woman.........almost.''
what do you mean almost? questioned the priest. we ,we got undressed and rubbed...
Unapogundua boss wako anakufuatilia sana unapokuwa busy na email zako,facebook,twitter, tumia njia hii kumkabili ili uweze kuperuzi kwa raha zako!!!!!!
Coincidence?
YEAR: 1981
1. Prince Charles got married.
2. Liverpool crowned soccer Champions of Europe
3. Australia lost the Ashes tournament.
4. Pope died.
YEAR: 2005
1. Prince Charles got...
My dear President.
We are approaching December 9. The so called Independence day.
We will be commemorating 50 years of our Independent.
Many things happens on this Day, One of the Most...
Hamjambo wajamvi na Idd mubaarac! Tafadhali naomba nijuze matumizi mazuri ya pesa .Maana imenitokoe mie naambiwa nina matumizi mabaya ya pesa mie silewi wala kuhonga hiyo pesa nimetumia kwenda...
GENEVA
UTAFITI uliofanywa na kampuni ya Uswisi ya Blacksocks umeonesha kuwa asilimia 66 ya wanaume wa kifaransa hubadili soksi zao kila siku, huku kila watu saba kati ya 10 wenye asili ya Uswisi...
Na Imelda Mtema
Gari la mcheza filamu hot Bongo, Jacqueline Wolper Masawe limefumwa likiwa na kondom za aina mbalimbali.
Ishu hiyo ilidakwa na Weekly Exclusive Star, Jumanne ya wiki hii nyakati...
Wana jf ni kwamba kuna rafiki yangu jana alikuja kwangu kuangalia mechi kati ya fulham na t'ham akiwa amevaa shati la ccm, na kabla hajakaa nilimsihi aondoke mara moja kwa sababu zifuatazo:
1...
chit chat oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Watu tunajifunza na kuvutiwa na mengi kutoka kwa members wa jf. inawezekana kuna wawili watatu ungetamani kuwauliza (ma)swali fulani la binafsi ila kwa namna...
Lakini vile unavyokuta bar zimejaa sinza ndo hivyo unakuta guest zimejaa keko.tuseme keko kuna wasafiri sana kuliko ubungo?ukila unapopita usiku unakuta ubao umegeuzwa eti "vyumba vimejaa".mimi...
Kwetu Zanzibar Ushoga Si Tatizo.........
Source: Clouds fm,jahazi
hivi hawa jamaa wana akili,eti sentensi haijakamilika sijui itaendelea lini au wanamaanisha nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.