JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Siku moja nyani alitafuta all means za kujiua akakosa alipomkuta SIMBA amelala aliona ni poa amsumbue ALIWE afe ...........,basi alienda akamtia kidole NYUMA hadi simba akaamka ; SIMBA...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Padri amekaa katika ki-box cha kuungamisha, kanisani hakuna mtu. Mara muumini mmoja akaingia, akapiga magoti upande wa pili na kufanya ishara ya msalaba akaanza kuungama. "padri naungama dhambi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanajamvi, Wahenga walisema "Kweli itatuweka huru" na kwamba "Kitu anachoweza mtu mzima akiwa amekaa, kijana hawezi kukiona hata akiwa amesimama" hayo ndio maono na busara za wazee wetu, leo hii...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Viongozi watatu wa kitaifa wa CHADEMA wapo kwenye hatua ya mwisho ya mazungumzo kuhamia CCM. Habari za uhakika zilizopatikana kutoka kwa mmoja wa washiriki wa mazungumzo hayo zinaeleza kwamba...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Hebu nisaidieni mwenzenu kila kampuni ninayofanya kazi lazima ife ni gundu au?,iNikiwa kijana wa miaka 18 enzi hizo niliajiriwa TANGANYIKA PACKERS muda sio mrefu ikafa,nikatafuta kazi kwa...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Je hii ni kweli? Na kama ndivyo,kwa vigezo gani?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
A woman wanted to reach her husband on his mobile phone but discovered that she was out of credit. She instructed her son to use his own phone to pass across an urgent message to his daddy who was...
0 Reactions
6 Replies
973 Views
Kuna siri kubwa sana nataka niitoe lakini nahofia usalama wangu. Vipi niitoe?
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Katika shule fulani ya kishua ya ghorofa 5 hivi ilitokea katika darasa la juu kabisa mwalimu alimtuma mwanafunzi mmoja akamchukulie chaki chini kwenye ground floor. Hasa wakati amebakisha ngazi...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Imefahamika asilimia kubwa ya wanandoa waliodumu zaidi ya miaka 20 wameugua kisukari. Hii ni kutokana na majina wanayoitana kama MY SWEET, MY HONEY,MY SUGAR,MY CHOCOLATE etc. Mkinge mwenzi wako na...
0 Reactions
1 Replies
990 Views
Nadhani Tz ni zaidi ya Li-Kampuni kuliko kuitwa nchi!! Nini kinachoendelea ktk kampuni hii- oh sorry- nchi hii? Ni vema ieleweke hivyo from the perspective of an Indian, American, Canadian...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakiwa ndani ya kanisa mtoto alimuambia mamake,mama nataka kukojoa..mama akamjibu hio sio njia nzuri ya kusema.wakati mwingine ukiwa ndani ya kanisa na unaskia kukojoa sema unataka...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kulikuwa na kes ya kubaka mahakaman ambayo mzee mmoja alifikishwa mahakaman kwakumbaka mwanae ilikuwa hv:- Hakimu: m2humiwa je nikwel umekubal umemuinglia mwanao kwa nguvu? M2humiwa: ndio hakimu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za jion memba, Katika dunia yetu mi naamini hakuna mwanadamu ambaye anaweza kupita siku au masiku bila yeye kuingia katika dibwi la mawazo. wengine ya kawaida sana, wengine ni yako magumu...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
(age 5, Lida) Linda Medina was the youngest girl ever to give birth. She was just 5 years, 7 months, and 21 days when her 2.7 kg (6.0 lb) son Gerardo was born. Linda got attendance of her parents...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
MAMA MKWE; Binti samahani...., kiukweli mtoto hafanani na kijana wangu kabisa BINTI; Mama bila samahan, huku chini nina njia ya uzazi na siyo mashine ya photocopy
0 Reactions
4 Replies
2K Views
angalieni jinsi wakenya wana mambo!! http://bp2.blogger.com/_ivHsiLJAKhc/R-5xJ5J3CEI/AAAAAAAAAA8/OlgkQejBApU/s1600-h/Unique+design+dress.jpg eti yaitwa fashion!!! hehehehehehe!! someni...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
kuna jamaa mpinga-chadema utazan mpinga-kristo. jamaa huwa namsalimiaga kwa ishara ya habar yako banaa, uku namuoneshea ishara ya V ambayo tunatumiaga cc ma hadi core wa cdm. lakini leo nimsalimia...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Swali lenyewe ni hili ( Ni nani ambaye ni mmoja hana wa pili wake)? Nawaombeni munijibu kwa ufasaha wa maneno asanteni sana.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
jamaa alimfuata msichana ambaye anajiuza(changudoa) jamaa;am am am... dem;airtel jamaa;unasemaa?! dem;vodacom jamaa:dada mbona sikuelewi?! dem: just Tigo jamaa;tigoo! hapana labda huko...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom