JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kwa maokoto ya kila siku. Hakuna trafiki boya/maskini. Kuwa na balance bank 50m TZS Jambo dogo
4 Reactions
15 Replies
615 Views
Wakuu natumaini mu wazima wa afya,.... Katika maisha, binadamu tumekuwa watu wa kujifunza mambo mbali mbali kila siku, hali inayopelekea WATU kubadili mitazamo na baadhi ya imani pale...
13 Reactions
58 Replies
1K Views
Wakuu ni kitu gani ambacho ulikianza kama utani lakini leo hii imegeuka kuwa uraibu kwako yani huwezi kukaa bila kufanya hicho kitu. Kwangu mimi ni kucheza games(play station). Nakumbuka kipindi...
10 Reactions
111 Replies
3K Views
Na ukizingatia Watani zangu Wahaya kwa 99% ni Waganda na Boby Wine nae ni Mganda nahisi labda ni Ndugu kwa jinsi walivyofanana. Ni kama hata Mimi pia Watu wengi wanavyosema kuwa nafanana mno na...
1 Reactions
2 Replies
130 Views
Habari za kutwa wanajukwaa?, Kwenye maisha kila mtu ana malengo yake aliyojiwekea kutokana na kile ambacho anatamani kutimiza maishani lakini kwa sababu ya changamoto mbalimbali za maisha...
0 Reactions
10 Replies
201 Views
Jamani tujiandae 😂😂😂😂😂 Tunajipumzisha kidogo kisha tunaanza kumpelekea moto mama
0 Reactions
0 Replies
96 Views
Ninawasilisha! Merry Xmas and Happy New Year 2025
8 Reactions
16 Replies
497 Views
A DRUNK Turkish man spent hours helping a search party look for a missing person before realizing he was the missing person. Beyhan Mutlu, 50 yrs, from the north-western province of Bursa, had...
11 Reactions
6 Replies
216 Views
Ndoto ni kama movies ambazo zinatengenezwa akilini mwetu. Wakati tukiwa tumepumzika usiku, ubongo huwa upo kazini bado, hutuandalia ulimwengu mpya ambao huwa na mambo tofauti na haya tuyaonayo...
2 Reactions
11 Replies
286 Views
Kila mmoja achati kwa lugha anayoijua mradi usitukane... Unaweza kutumia google translator... Mimi naanza.. Nǐmen hǎo ma, wǒ de péngyǒumen. Wǒ de míngzì shì nǐ de zhàngfū
1 Reactions
3 Replies
143 Views
Guys, i hope mko poa sana, Kiukweli mwenzenu nina furaha huu mwaka naumaliza vizuri kwa kupata hitaji la moyo wangu, Guess whaaaaaaat! I'm a new Mom in town...
28 Reactions
109 Replies
4K Views
Hawa wamba ndio walikuwa wakileta burdani sana enzi hizo hamna Facebook Instagram Tiktok wala Youtube. Unavyokaribia mwanzo wa mwaka mnasubiri kwa hamu toleo la jarida jipya lililobeba katuni...
12 Reactions
28 Replies
755 Views
Tabia hii ife kabisa msiwe mnajimaliza sana kwanini lakini Grahams Half american Zulu man MENEMENE TEKERI NA PERESI De Opera Gily Gru Labella Monetary doctor Fake P
10 Reactions
70 Replies
1K Views
Dondosha jina la kinyakyusa unalolifahamu. Naanza Gwakisa, endelea
6 Reactions
284 Replies
10K Views
🚨🚨WAPENDWA HII NI TAHAJUDI YA JUMATATU NAOMBA MZINGATIE🚨🚨 👉Jumatatu ni siku nzuri ya kuvaa mavazi meupe, kuelekeza nguvu zako za kike, na kufanyia kazi hisia, nguvu za kiakili na hali ya kiroho...
0 Reactions
8 Replies
461 Views
Ukiona 1. Mtu ana mtoto hutakiwi kuuliza kama alisex. 2. Mtu kaleta lorry lina matofali hutakiwi kuuliza anajenga 3.Tecno, itel na infinix hutakiwi kuuliza hii simu inaubora? 4.Mdada kavaaa nguo...
5 Reactions
8 Replies
396 Views
Wakati kundi la watalii lilipotembelea shamba la mamba, mmiliki wa eneo hilo alizindua shindano la ujasiri, kwa kuwaambia wageni waliohudhuria kwamba.. "Yeyote anayethubutu kuruka, na k kuogelea...
8 Reactions
26 Replies
582 Views
Wadau kama week mbili hivi nipo tu home.sijatoka hata nje tu ya nyumba ninayoishi.ambacho huwa nafanya ni kuziwasha tu gari after five days engine iungurume hata masaa matatu then nazima. Sitoki...
55 Reactions
62 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…