Amani ziwe juu yenu wana JF.
Namshukuru Muumba nimefika Dar es salaam salama kabisa. Na nilipokuwa njiani kutoka airport kuelekea ninapofikia Upanga , mtaa wa maliki nilistaajabu kuona Gari...
Wakubwa samahanini sana nauliza tu huyu mtu Lizzy yuko wapi siku hizi? Alikuwa ananibariki sana na uwepo wake humu na sijamuona kitambo kidogo. Mwenye data anijuze maana huenda mwenzetu ame "ngo"...
naangalia kipindi cha dakika 45 itv anahojiwa samuel sita huyu mtangazaji anauliza maswali maraisi ambayo hayana argument sijamkubali kabisa hajui kutangaza ovyoo
Ile ban yangu ya miezi miwili imepotezewa na sasa nipo huru. Kwakweli siku 4 za ban zimenifanya niwe dhaifu, mnyonge na kuishiwa nguvu kabisa. Nawashukuru wale wote ambao walilia sana ili...
Q: Why are condoms transparent?
A: So that sperms can at least enjoy the scene even if their entry is
Restricted!
Signboard outside a prostitute's house:
Married MEN not allowed. We serve the...
Ndugu zangu leo nimekaa nikawaza ivi ikitokea uko kitaa ukasikia mtu anaitwa funzadume mawazo yako yataenda wapi?ID gani nyingine zinazofuraisha humu Kwenye forum ambazo ukiwa unasoma post zao uwa...
Ivi ingekuwaje kama siku mods wakatoa ombi la ushauri kwa member kuhusu jukwaa gani lifutwe na ungependa jukwaa la namna gani lianzishwe? Je wewe ungejibuje,mie ningeomba lianzishwe jukwaa...
Ripoti yako ni kama ifuatavyo:-
Kuoga F+ (Maji shida),
JF A+
FACEBOOK A+
Wivu A+,
Uvumilivu A,
Uchokozi A+,
Kuzurura A,
Kulala uchi A,
Kuchukua bibi za watu A+,
Siasa A+,
MAPENZI KAZINI...
Naomba kuulizia watanzania wanaoishi Brazili kwenye mji wa Brasilia...! Mimi ni mgeni natarajia kuja huko Brasilia kibiashara. Naomba msaada wenu wa kujua hoteli za bei rahisi walau kuanzia Dola...
Kuna sehemu ulitokea msiba ambapo mama mmoja alikuwa analia sana kiasi cha kuonekana ameguswa sana na ule msiba,lakini baadae watu wakashangaa amekaa kimya halii.wakinamama wenzake wakamsogelea...
Sa we naye unahusika kwa namna ipi mpaka umefungua, ukasoma, na tena ukasonya au ukatabasamu na sasa unataka kuondoka bila kuacha coment! Haiwezekani kwasababu umefungua the lazima useme jambo........
Jamani mie kuna kitu sifurahishwi nacho sijui wenzangu mnakionaje?kitu hicho ni kwamba facebook ni tandao wa kijamii na mawasiliano na kunganisha watu, lakini kuna baadhi ya waru wamegeuza sehemu...
In this special date, some years back, uliletwa hapa duniani
Na sote tunafurahia uwepo wako hapa duniani na zaidi Jamvini
Hivyo tuna sababu, nia ya dhati na tashwishi ya kuwa nawe leo
Siku hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.