Imegundulia kuwa kuna namna maalum ya kuwasaidia akina dada kuondoa upweke, please angalia hapa chini then unaweza kuni PM ili nikupatie bidhaa hizi kama wewe ni mdada na pia ni mpweke ...
Wabongo kweli ni noma...check huyu mshkaji alivyokomaa kwenye interview:
5000 candidates assembled in a large room for an interview
Interviewer: Thank you for coming. Those who do not know...
Bar moja mtaa mmoja karibu na makazi ya watu siku moja mwanamke mmoja alikua anakimbizwa na mumewe. Ishu ilikua ugomvi wao, mwelekeo ulikua karibu kbs na meza ya wanywaji fulani.
Yule mama huku...
Jamani, nyie mmebadili au bado liko la Honey?
Marriage historical trends:
A newly married husband saved his wife's number on his mobile as "Honey My life"
After one year of marriage...
1. Je wajua kuwa kunguru na njiwa ndio ndege pekee wanao2mia mchanga kwa kuoga.
2. Je wajua kuwa treni/gari moshi ndio chombo kinachodumu muda mrefu? Lakn kilitengenezwa kwa mfano wa nyoka...
Jamaa mmoja alioa mwanamke aliyekwisha kuolewa na kuachika na wanaume wawili.Cha ajabu huyu mwanamke alikuwa bikra bado.Jamaa akaamua kumuulizia,imekuwaje aolewe na kuachika mara mbili na bado ana...
1. At least one of the identical twins is born
evil.
2. If u decide to defuse a bomb, dont worry
which wire to cut, youll always choose the
right one !!
3. When you switch off light and go...
Hivi majuzi nilipata Admission kwenye chuo kimoja hapa Bongo kwa ajili ya kwenda kusoma masters.Sasa kama kawaida nikarudi kwa wadau wangu kwamba nipeni tafu kidogo niende shule ikawa hivi...
Baada ya mazoezi mengi na mifano mingi, akakutana nayo hii hesabu jana kwenye pepa ya form 4, dah nikachanganyikiwa sijui kama atafaulu...kweli "Mathematics ni janga la kitaifa"
BAHILI;Ndizi moja sh.ngapi? MUUZAJI;Ndizi moja sh.100. BAHILI;Nipe kwa sh.60. MUUZAJI;Kwa sh.60 utapata maganda tu. BAHILI;Shika hii sh.40,nipe ndizi,hayo maganda ya sh.60 yatoe siyataki!
After 10 years of selfless service, a man realized that he has not been promoted, no transfer. No salaries increase, No any recommendation and that the company is not doing anything about it. So...
Mtalii na mtafsiri wake hotelini
Mtalii: Do you have vegetables here.
Mtafsiri: Mnavyo vijimeza hapa.
Waiter: Vijimeza vidogo hatuna.
Mtafsiri: No sir, they don't have
Mtalii: OK, fine, do...
Inasemekana wabongo kwa upole na ukarimu ni nambari wani.cheki hii.
Eti m'bongo akifariki na kwenda mbinguni huwa hivi.
M'bongo: malaika,mimi ni wa motoni ama mbinguni?
Malaika: kaka,wewe ni...
Jana nilitoka Tanga nikachelewa kufika dar,home kinyerez ndani zaid nikaona nienda magomeni kagera karibu na Friends conner Hotel kuna mlolongo wa Nyumba za wageni.
Nikiwa ndani kwa kweli...
Mswahili mmoja mvivu sana alikwenda kwa kinyozi, alipokaa tu kwenye kiti kinyozi akamuuliza unataka kunyolewa ndevu au nywele? Mvivu akajibu ndevu, kinyozi akamwambia inua kichwa basi, jamaa...
Baada ya kuwapeleka wanaanga wake kwenye safari
za anga ya juu na wanaanga kutembea kwenye anga ya juu
kwa mafanikio, China imepiga hatua nyingine muhimu katika juhudi zake za kutafiti anga ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.