Once in a conference,three scientist A .chinese,B,German C Tanzanian were talking about the technological advances their countries have achieved in the field of medicine
A.says the chinese in...
Mzee mmoja alikuwa na kijana wake ambaye alikuwa akisoma sekondari fulani ya bweni hapa nchini. Kijana huyo alikuwa ni mvivu na mtoro wa shule hivyo kusababisha yeye kushika nafasi ya mwisho...
Nakumbuka sana makala za huyu Padre kwenye gazeti la RAI. Siku izi simskii tena, hasa baada ya kanisa kutomtambu. Alihamia gazeti jengine ama ameacha moja kwa moja kuandika? tupeane habari watu...
Maji yapo lakini hayatoki>>>Mafuta yapo lakini hayauzwi>>>Mafisadi wapo lakini wanaangaliwa tu>>>Magamba yapo lakini hayabanduliwi,yaani raha kwa kwenda mbele!
Kumekuwa na tabia tofauti za uvaaji wa suti hasa za wanaume ambapo wengine uvaa na kuacha label ya designer aliyetengeneza suti husika kama vile hugo boss, pierre caldin, georgio armani n.k...
Kutokana na vurugu zinazoendelea huko Uingereza ubalozi wa Tanzania umeamua kuwarudisha watanzania wote nyumbani. Itasaidia kurudisha raia na mali zao. watanzania wote mnatakiwa kuwasiliana na...
When you see an opportunity take it.
Our government has proven very weak in handling issues.
Issue ya mafuta inaathiri Uchumi kwa kiasi kikubwa sana.
1. Ni mitambo mingapi imefungwa kwasababu...
Foleni Dar yapatiwa uvumbuzi na serikali ya SISIMU imeanza kujigamba kua imetekeleza ahadi yake ya kuondoa msongamano wa foleni jijini Dar es Salaam. Kwa siku kama 5 hivi msongamano wa magari...
Unajua unapofanya suprise uwe makini,kulikua na mr na mrs wanaish vzur,siku moja mr alikua na furaha sana akarudi nyumbn akaingia chumbn akamuacha mrs sebuleni,akabadilisha line ya simu ili...
Nadhani wadanganyika mlisikia wachuuzi wa petroli juzi walipoipa serikali masaa 24 kufanya wanavyotaka wenyewe la sivyo wataona chamte makuni, ikitokea na wamachinga pia wakaipa serikali masaa...
A woman takes a lover home during the day, while her husband is at work.
Her 9-year old son comes home unexpectedly, sees them, and hides in the bedroom closet. Then the woman's husband also...
mama mmoja alimpeleka mwanae hospitalini ili dokta akamfanyie uchunguzi na kubaini ni nini kilichofanya awe na uvimbe tumboni
ilmchukua dokta sekunde mbili tu kugundua na kusema.."mama hebu...
Kweli ma doctar wa hawa ndugu zetu wana shuhuli nipale walipo ambiwa watoe mifano ili kwa wale waliopona waruhusiwe huyo jamaa wa kwanza alipanda juu kwenye kona ya nyumba akajininginiza mwenzake...
Jitu dume zima linavaa T-shirt imeandikwa;I'M A PRETTY GIRL,GRAVEDIGGER,MORTUARY ATTENDANT,99% DEVIL AND 1% ANGEL e.t.c,bora mtu mwenyewe angeivaa kwa malengo lakini mtu hata english language...
Mbunge wa Kinondoni, akiomba mwongozo kuhusu kauli aliyotoa Meya wa Dar kuhusu UDA kwamba kuna wabunge wanafikiri kwa makalio na sio akili.
Amesema kauli hiyo inadhalilisha bunge zima na...
I was born black,
I grew up black,
My skin is black in the sun,
I'm black when I'm scared,
Black when I'm ill
I'll die black.
While you, my white brother,
You were pink at birth,
White while...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.