JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamaniii..nini kimetokea hapa!?????? Nimepita maeneo ya Break point ya posta naona kibao cha "Samahani kwa usumbufu" yaani wamefunga kabisa aisee.. Sasa mimi Ijumaa nitajiliwazzia wapi...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
kwangu Mimi Posta mpya ni kama jicho la fasheni. akina wadada warembo, mavazi yao ndo .... mwenzangu waionaje Posta mpya?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwamba kwa nini mtu mlevi ana uwezo wa kunywa bia zaidi ya tano lakini hawezi kunywa soda zaidi ya tatu? Kuna nini hapa!
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Baada ya miaka hamsini ya kusema tuko huru katika bendera yetu kuna rangi kubwa nyeusi.nimefikilia sana na sasa nimepata jibu ya kua ni giza na tanesco wanadhihirisha hilo kwa kukata umeme na kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani mimi sina muda mrefu humu JF lakini tangu nimejiunga nimeona manufaa yake...kuna mambo mengi nlikuwa siyajui na sasa JF imenisaidia sana. Ama kweli JF inaleta maana kamili ya kujamiiana...
0 Reactions
9 Replies
16K Views
Sishangai sana kwa mh.jk kwa yale majibu aliyoyatoa alipokuwa akihojiwa na bbc.7bu huyohuyo mh.jk alishauambia uma wa watanzania kukatika umeme itakuwa historia baada ya mitambo ya richmond...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nape Nnauye ambaye ni katibu mwenezi wa CCM amekuwa hodari wa kughushi katika maisha yake. Kijana huyu alighushi kuwa CCM wakati akiwa na mbinu za kuanzisha chama cha CCJ huku akitumia nyaraka za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kitendawili wanaJF ... bila shaka mtaitikia tegaaa: Ni handsome boy Anapenda safari za nje Chukua akili za kwako changanya na za mbayuwayu.. eh sizihitaji kura za wafanyakazi hata nyoka akizeeka...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Wadau kwa heshima na taadhima naomba kukopa maneno ya mamaa wa Kericho; JF is beyond keyboards!!!!!!!!!!! Kwa namna ya pekee kabisa naomba niwashukuru wanaJF wote wa Arusha na wengine toka mikoa...
18 Reactions
212 Replies
13K Views
Wadai mtanisamehe, hali inatisha jamani. Ningekua na uwezo ningepiga fumigation system nzima ya utawala, ianze tena upya. Huu si utani, inaumiza hali ni mbaya na hakuna anaewaza kuhusu hali za...
0 Reactions
0 Replies
988 Views
Mtoto kamuuliza babake:eti baba,unataka kuanza tena shule?baba akauliza:kwa nin umeniulza hvyo?mtoto akamwambia:"jana uthiku niliskia ukimnong'oneza mama,eti kama anapenda muende la pili...!"hvi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi ndio mhimili wa dunia
0 Reactions
5 Replies
2K Views
HOW TO ORDER :: Click - http://high-system.miiduu.com Bose® Lifestyle 235 Home Entertainment System Bose® Lifestyle V25 Home Entertainment System Bose® Lifestyle V35 Home Entertainment System...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwamba kuku-jike anapofukuzwa na jogoo jeusi tii au jogoo lenye rangi mbaya hukimbia sana kuliko pale anapofukuzwa na jogoo jeupe au jogoo lenye rangi nzuri!
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ni kutoka iringa-Tanzania.Baba mmoja wa kihehe akiwa na mwanawe wakitoka machungani walikuwa wanajaribu kuwavusha ng'ombe wawili (mama ng'ombe na ndama) kukatisha mto.Kila yule mzee alipojaribu...
2 Reactions
12 Replies
5K Views
kwa kuwa uchumba wao ulianza kipindi cha uchaguzi inasadikika kwamba huenda mtoto akaitwa jina la UCHAGUZI ili kuenzi kipindi hicho.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi ndivyo walivyo anaongea sana uongo na kujisifu ,kupeleka umbeya kwa mabosi utafikiri ndicho alichosomea ,sijawahi ona mwanaume mwongo kama huyu mgoni hapa,kwa style hii wangoni wapite mbali nami!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimeiona hii sehemu.. Nkaona si vibaya nikiileta hapa... Ugeni Mzito. Nina furaha kuwatangaz​ia watanzania​ wenzangu kwamba tuna ugeni mzito siku 2-3 hizi tumetembel​ewa na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Do you have the guts of telling your thoughts?? Hapo ulipo unawaza nini?? Please share.Iwe kweli lakini.lol oh!! And Please usishangae... This is Chit Chat... P.S: Vigezo na Masharti ya JF...
2 Reactions
176 Replies
11K Views
Ilikua ni majira ya saa 12:30 jioni siku ya ijumaa ambapo mimi na familia yangu tulipoamua kwenda kwa yule mchungaji anayetibu maradhi sugu kwa njia ya upako kutoka kwa Mungu kwa gharama ndogo...
0 Reactions
408 Replies
58K Views
Back
Top Bottom