JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Yaani kuna watu wamebarikiwa majibu ya shombo asew check hili apa
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu habarini za jioni na za weekend pia. Natumai wengine mpo maeneo mkimwagilia mioyo kufurahia maisha,Leo nimekaa nimewaza ujasiri ambao mwanamke anao.. Ningumu sana hii kwa upande wetu wanaume...
0 Reactions
16 Replies
796 Views
Ikitokea Mungu anakuuliza afute kifo au kiendelee tu kuwepo utamshauri nini Mimi namwambia kiendelee tu ili tuheshimiane
0 Reactions
13 Replies
696 Views
Kwanza nianze kuwakaribisha wanywa Soda wenzangu kwenye hiki kikao chetu, Ndugu wajumbe,kwanza nianze kwa kusema tumechelewa sana 1:Agenda ya kwanza ni Kufungua kikao 2:Agenda ya Pili ni Mzunguko...
0 Reactions
2 Replies
505 Views
Nimelewa mbaya siwezi ata ku drrive leo ni noma sijui kama nitafika makongo juu, ni hatari.
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Hamjamboni wanajamvi? Natumai mpo salama kbsa. Huu uzi Ni maalum kwa ajili ya mama zetu.Tuchukue fursa hii kuwapongeza mama zetu kwa Yale mengi mazuri waliotufanyia mpaka tumefikia Hapa tulipo...
1 Reactions
6 Replies
516 Views
ISINGEKUWA yule trafick usiku ule pale daraja la sarenda wale majamaa wangeniua
0 Reactions
3 Replies
384 Views
Hellow Kama wao wamesema sisi Nani mpaka tupinge? Kwa hiyo vijana wanaoshabikia Simba tunawaweka katika fungu gani embu nijibuni basi
2 Reactions
0 Replies
421 Views
Katika maisha kuna mambo mengi sana ambayo unaweza ukawa unajiuliza hupati majibu na kuuliza unaogopa ebu tushirikishane kitu gani cha kijinga ulikuwa unajiuliza ukaja kupata jibu ukaishia...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Hivi ni kipi kinawazuia hawa waliojiita ni wakimbizi wa Kisiasa wasirudi Tanzania ? Naona wanaona kama waliishi Bongo kwa Bahati mbaya tu ila kwa uzuri wa huko Ulaya ni bora waendelee kuishi huko...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Yafuatayo ni baadhi... Mjuni. Kamugisha Rwezaura Rwebangira Rwegasira Mpoki Kokushugela Kaishozi. ...ongeza la kwao...
0 Reactions
62 Replies
24K Views
Sawa wewe ndiye mtoa matumizi yote nyumbani. Ndiyo uwe dictator! Mangapi mama anasaidia nyumbani...kukuzia watoto je? kama umewahi kuachwa na watoto nyumbani utaigundua kazi wanayoifanya hawa...
4 Reactions
12 Replies
524 Views
Kuna watu hatupendi wengine waonewe hivyo tunaingilia ingilia sana ugomvi wa watu. Magu anasema 'Kuwashwa washwa' anyway wakati mwingine show unayoiingilia jukwaa ni kubwa show ndefu halafu wewe...
9 Reactions
132 Replies
12K Views
WAPENDA UBISHI watatu walibishana kuwa nani amekubuhu kwa ubishi kati yao. Wakaamua kila mmoja AHADITHIE UBISHI aliomfanyia mkewe ili wapime nani kabobea zaidi kwenye fani. MBISHI WA KWANZA...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Rabbit foot Horseshoe Lucky monkey Ukipata ivo vitu na usipokua tajiri njoo uniulize Mimi. All the best, usiache kuja kutoa ushuhuda hapa jukwaani.
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu hii sio baridi, unaweza ukapata nimonia, kwa anayejipanga na safari ya Njombe ajiaandae haswa!
10 Reactions
68 Replies
5K Views
Aisee hii kitu nilikuwa naionaga tu enzi hizo nikachukulia poa. Siku ya kwanza niliila nikameza mate nilijisikia kufa, nilibanwa na haja ndogo na kubwa wakati mmoja. Tangu siku hiyo nilikoma...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Aiseeeee habar wakuu leo naona sabasaba pamejaa wakenya wengine hata kiswahili tutashuka nao ngeli mpaka kieleweke leo lazima washike ukuta So wadau leo lazima kieleweke nipo na Zero IQ...
1 Reactions
5 Replies
609 Views
Kama kichwa cha habari kinavyoonyesha hapo juu katika harakati za kupata elimu kuna kukutana na watu wengi sana wakiwemo watoto watukutu, wakishua na wakati mwingine kujifunza tabia isiyo njema...
3 Reactions
70 Replies
10K Views
Hivi karibuni nimekuwa added kwenye ma group ya harusi na sendoff yapatayo kumi na wote hawa wakitarajia kufunga ndoa mwezi wa 11 mwaka huu. Nimeshangaa tu kuona mwezi wa 11 mwaka huu kutakuwa...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…