JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jenga picha leo hii umekutana na kijana ambaye ni wewe mwenyewe kipindi hiko uko na miaka 18, yaani yule wewe wa miaka 18 halafu unapata nafasi ya kumueleza machache, utamueleza nini?
7 Reactions
52 Replies
3K Views
Habari zenu wanajukwaa la Chit Chats na Utani! Natumai kuwa 90% ya members wa JF mmewahi soma shule za boarding hasa hasa Advance! Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kupiga story za kianafunzi...
1 Reactions
6 Replies
780 Views
Tujadili kwa pamoja, Je ni changamoto zipi zinazokikabili kazazi cha millenials hususani kwa Tanzania? Millenials ni kizazi cha watu wote waliozaliwa Kuanzia miaka ya themanini mwanzoni kuja...
0 Reactions
0 Replies
513 Views
huu ni uzi maalum wa kuongea broken english tuu. yesterday i will went to home. delete me people will download😎 jazieni zingine
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Kama uzi unavyojieleza njooni tujadili changamoto na njia za kuweza kujikwamua na hii hali, Hali ni mbaya saana Uzi tayari.
6 Reactions
86 Replies
5K Views
umeshinda bonus ya billion 5 ,, siku unaenda ofisini kwa bosi wako kupeleka barua ya kuacha kazi utakaa mkao gani hapo? mimi namba 3 😂😂😂😂😂 karibuni wadau tuwaoneshe mabosi wetu ambavo...
10 Reactions
59 Replies
2K Views
Hongera le mutuz Kwa kutumiza miaka 55,leo jumamosi ya tarehe 25.06.2016
9 Reactions
93 Replies
21K Views
Dah ukiwa na natural common sense raha sana kwa wale walio kama mimi hongereni kama we ulielekezwa namba ya registration uko vizuri mwamba
1 Reactions
5 Replies
478 Views
Nipo hapa mitaa ya CBE nimesimama ninaona wasichana warembo wakipita na nina watamani sana, siwezi msimamisha mbele ya watu wengi ila kuongea naye naweza….Je, njia gani nzuri wakuu wa mambo bila...
5 Reactions
29 Replies
4K Views
Mwanajamii mwenzetu yupo korokoroni kwa kosa la fumanizi! Member mwenzetu huyo alikuwa akidate na mwanaume kumbe ni mume wamtu. Hivo jana wakiwa maeneo ya sinza walidakwa wakivunja amri ya sita...
10 Reactions
82 Replies
5K Views
1:Seche. Huyu alikuwa mtoto wa kigogo hapo dodoma, mtoto wa baba mchungaji, Huwezi amini kila siku yuko na biblia lakini mambo yake hatari kunako 6 kwa 6, Nilidate nae wakati ule yupo advance...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu majamaa leo siongei mengi Ila nilikua tu nataka kuwaambia ishini na wanawake vizuri utelezi upo Tena bila hata Mia. Mmesikia nyie mnao tafuta hela....? Ila msijisahau.
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Cheka kidogo Anakuja Mchina anasema anahitaji Paka[emoji250], ananunua mmoja kwa bei ya 20,000/=, basi wanakijiji wanahaha kusaka Paka[emoji250], wanawaleta mchina ananunua wote anasepa nao...
8 Reactions
6 Replies
2K Views
ORODHA YA SIMULIZI 1. Behind the curtain: September 11 2. Cosa nostra 3. Picha zinatisha: La Ultima Letra 4. Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi) 5. Top Secret: Nyaraka Namba 12333...
43 Reactions
466 Replies
78K Views
HIVI MUNGU AKIWACHUKUA WATU WOTE DUNIANI akakuacha wewe na mme au mke wako wa ndoto yako. Je, a.Utapenda mukaishi nchi gani? Kwanini? b. Mtajishughulisha na kazi gani? c. Utapenda mzae watoto wa...
0 Reactions
12 Replies
686 Views
Huu mtandao Nimeujua muda mrefu ila nilikuwa sijawahi kabisa kuingia kuna clip nyingi nilikuwa naona zinasambazwa kwenye mitandao mingine kiukweli kama mtu siku hiyo upo bored ukikutana na clip za...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Yap, niulize chochote kuhusu pombe. Nitajibu maswali yote, na ikitokea utahitaji kijitabu nicheki PM.
2 Reactions
58 Replies
4K Views
Mwanaume unatakiwa umzidi mwanamke vitu vitatu. 1,👉Pesa 2,👉Akili 3,👉Umri Mwanamke unatakiwa kumzidi mwanaume vitu vitano. 1,👉Subira 2,👉Usafi 3,👉Mipango 4,👉Upendo 5,👉Nguvu ya maombi Ili...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Huu ni uhuni kama sio uhujumu uchumi anaotaka kunifanyia huyu mrembo wa CBE, Anatumia uzuri na kalio lake kama chambo cha kutaka kunifirisi, Siku ya tatu leo sijaenda ofisini kukagua mahesabu ya...
2 Reactions
5 Replies
449 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…