...kuanzia kesho atakua anapokea taarifa za wizi wao dhidi ya kura halali za wananchi na kwasababu yeye ni mtu wa mipasho atakua ameandaa ka-verse kama haka kafuatako na atakua akiimba kwa mluzi "...
Dearest Ms Juliet,
I am very happy to inform you that I have fallen in Love with you since the 14th of October (Sunday). With reference to the meeting held between us on the 13th of Oct. at...
Wana Jf nimepata taarifa ambazo naweza kuziita siyo rasmi lakini ni muhimu kuzifanyia kazi, kwamba kura za ubunge Arusha mjini zinarudiwa kuhesabiwa. Mwenye taarifa kamili kuhusu suala hili aweke...
Kuna habari nimezipata sasa hizi kupitia simu kuwa mgombe ubunge kwa tiketi ya CCM Arusha Dr Batilda amekimbizwa Selian Hospital kwa mshtuko !!!
Kama kuna mwenye taarifa zaidi ???
Kuna tetesi kuwa Rais wa Kenya Mwai Kibaki anajiandaa kuja kumwambia JK akubali tu matokeo. Kofi Annan pia yuko njiani kuja kumwambia Masha (atie saini hata ya dole gumba huko huko Bugando...
Anna had lost her husband almost four years ago. Her daughter was constantly calling her and urging her to get back into the world.
Finally, Anna said shed go out, but didnt know anyone. Her...
Just got this from my friend:
This actually happened!!
xxxxxxxxxxxxxxxxxx
Yesterday, I was on my way home when a woman driving an old Peugeot 505 in front of me brushed a young girl driving a...
Nakumbuka miaka mingi nyuma, kipindi kile cha mapigano kule Msumbiji, wamakonde wengi waliingia Mtwara kwa njia za panya. Na serikali ikaamua kuwatafuta na kuwaweka wamakonde wote wa Msumbiji...
A guy walks into the pharmacy and says to the pharmacist, "I have three girls coming over tonight! I have never had three girls at once. I need something to keep me interested, and keep me...
Tunasikitika kutangaza kifo cha CCM kilichotokea baada ya kuibuka kwa CHADEMA. Marehemu atazikwa 31-10-2010 (kesho). Habari ziwafikie mjomba wa marehemu CUF, dada wa marehemu TLP, mdogo wa...
Nakiri sikuangalia mkutano wa CCM lakini naambiwa eti Benja (wa Awamu ya Tatu) aliteleza ulimi mkutanoni na kusema Kikwete...'tumnyime kura' na wala hakujisdahihisha. Waliosikia au wenye clip...
Watanzania, Taifa linapata Ukombozi;
Hii ndio hali Halisi, wataiba kura sana lakini Mkono wa Mungu utawaumbua, na nguzu za giza zitawashinda. Wataanguka na Rais Wetu Mpya atapita katikati yao...
Rafiki yangu mngoni alinielekeza kwake ili siku nikitembelea maeneo yale nimsalimie.maelekezo yenyewe sasa,pali pali kumpitimbi nyumbi hii bombi hii utikuti jogoo mweupi anikunywi maji basi ndio...
Kuna Mpare mmoja anaishi karibu na Benki, baada ya kushawishiwa kwa muda mrefu na ndugu na marafiki zake aweke pesa Benki kwa usalama wa pesa zake, kwa taabu sana akakubali kuweka pesa Benki...
Mrs. Jones sent her daughter Silvia to buy some groceries at the market. On the way, she met some boys who asked her to climb up a tree and get them some fruit, which she did. She bought the...
A chicken farmer went to a local bar.... Sat next to a woman and
Ordered a glass of champagne...
The woman perks up and says, 'How about that? I just ordered a
Glass of champagne, too!'
'What...
Jamani hebu tukumbushane! Mnakumbuka Soda bei ya chini kabisa mlinunua bei gani? ukweli ni kwamba mimi nilinunua kwa shillingi taslimu ya Kitanzania 7 mwaka 1986, Kinondoni kwa Sheikh Hassan ndio...
Msukuma Akiwa Mahamani
Kuna jamaa mmoja mkoani Mwanza, alikamatwa kwa kosa la kuwa na silaha aina ya gobore kinyume cha sheria. Siku ya mahakama kabla ya kesi yake kuanza, kulikuwa na kesi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.