JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
...kuanzia kesho atakua anapokea taarifa za wizi wao dhidi ya kura halali za wananchi na kwasababu yeye ni mtu wa mipasho atakua ameandaa ka-verse kama haka kafuatako na atakua akiimba kwa mluzi "...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Dearest Ms Juliet, I am very happy to inform you that I have fallen in Love with you since the 14th of October (Sunday). With reference to the meeting held between us on the 13th of Oct. at...
0 Reactions
1 Replies
892 Views
Wana Jf nimepata taarifa ambazo naweza kuziita siyo rasmi lakini ni muhimu kuzifanyia kazi, kwamba kura za ubunge Arusha mjini zinarudiwa kuhesabiwa. Mwenye taarifa kamili kuhusu suala hili aweke...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna habari nimezipata sasa hizi kupitia simu kuwa mgombe ubunge kwa tiketi ya CCM Arusha Dr Batilda amekimbizwa Selian Hospital kwa mshtuko !!! Kama kuna mwenye taarifa zaidi ???
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Kuna tetesi kuwa Rais wa Kenya Mwai Kibaki anajiandaa kuja kumwambia JK akubali tu matokeo. Kofi Annan pia yuko njiani kuja kumwambia Masha (atie saini hata ya dole gumba huko huko Bugando...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Anna had lost her husband almost four years ago. Her daughter was constantly calling her and urging her to get back into the world. Finally, Anna said she’d go out, but didn’t know anyone. Her...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Just got this from my friend: This actually happened!! xxxxxxxxxxxxxxxxxx Yesterday, I was on my way home when a woman driving an old Peugeot 505 in front of me brushed a young girl driving a...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nakumbuka miaka mingi nyuma, kipindi kile cha mapigano kule Msumbiji, wamakonde wengi waliingia Mtwara kwa njia za panya. Na serikali ikaamua kuwatafuta na kuwaweka wamakonde wote wa Msumbiji...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
A guy walks into the pharmacy and says to the pharmacist, "I have three girls coming over tonight! I have never had three girls at once. I need something to keep me interested, and keep me...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tunasikitika kutangaza kifo cha CCM kilichotokea baada ya kuibuka kwa CHADEMA. Marehemu atazikwa 31-10-2010 (kesho). Habari ziwafikie mjomba wa marehemu CUF, dada wa marehemu TLP, mdogo wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nakiri sikuangalia mkutano wa CCM lakini naambiwa eti Benja (wa Awamu ya Tatu) aliteleza ulimi mkutanoni na kusema Kikwete...'tumnyime kura' na wala hakujisdahihisha. Waliosikia au wenye clip...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Watanzania, Taifa linapata Ukombozi; Hii ndio hali Halisi, wataiba kura sana lakini Mkono wa Mungu utawaumbua, na nguzu za giza zitawashinda. Wataanguka na Rais Wetu Mpya atapita katikati yao...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rafiki yangu mngoni alinielekeza kwake ili siku nikitembelea maeneo yale nimsalimie.maelekezo yenyewe sasa,pali pali kumpitimbi nyumbi hii bombi hii utikuti jogoo mweupi anikunywi maji basi ndio...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Kuna Mpare mmoja anaishi karibu na Benki, baada ya kushawishiwa kwa muda mrefu na ndugu na marafiki zake aweke pesa Benki kwa usalama wa pesa zake, kwa taabu sana akakubali kuweka pesa Benki...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mrs. Jones sent her daughter Silvia to buy some groceries at the market. On the way, she met some boys who asked her to climb up a tree and get them some fruit, which she did. She bought the...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
A chicken farmer went to a local bar.... Sat next to a woman and Ordered a glass of champagne... The woman perks up and says, 'How about that? I just ordered a Glass of champagne, too!' 'What...
0 Reactions
0 Replies
908 Views
Jamani hebu tukumbushane! Mnakumbuka Soda bei ya chini kabisa mlinunua bei gani? ukweli ni kwamba mimi nilinunua kwa shillingi taslimu ya Kitanzania 7 mwaka 1986, Kinondoni kwa Sheikh Hassan ndio...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Msukuma Akiwa Mahamani Kuna jamaa mmoja mkoani Mwanza, alikamatwa kwa kosa la kuwa na silaha aina ya gobore kinyume cha sheria. Siku ya mahakama kabla ya kesi yake kuanza, kulikuwa na kesi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Je unakumbuka ulivyokuwa ukila primary miaka ya 80z n' 90z? Kalimati Bagia Ashkilimu uji wa mchele N.K
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…