Jamani wakuu wa udaku nimewahi kusikia kuwa wanasiasa hawana "real love feelings" sasa hii ni kweli?
eti hawa jamaa huwezi kuwakuta wako "desperate" kwa ajili ya love!!
God created the donkey
and said to him.
"You will be a donkey. You will work un-tiringly from sunrise to sunset
carrying burdens on your back. You will eat grass,
you will have no...
Naamini wengi hamtanielewa kwa sababu hamjui leo ninataka kuandika nini. Hata wewe unayesoma hapa huenda ukasoma mwanzo mpaka mwisho lakini ukatoka kapa kwa kuwa najua utakua ni mmoja wa vilaza wa...
I had a nice laugh at this guy,
Jamaa wawili walienda kuomba kazi Tanzania Football Federation, ikabidi mmoja mmoja aingie ili apewe interview. Jamaa wa kwanza mambo yakawa hivi;
Katibu...
John Smith started the day early having set his alarm clock (MADE IN JAPAN ) for 6 a.m.
While his coffeepot (MADE IN CHINA ) was perking, he shaved with his electric razor (MADE IN PHILIPPINES...
Katika kusoma kwangu nimebahatika kusoma katika shule mbalimbali zikiwamo za hapa Jijini Dar na za mikoani.
Nimegundua kuwa sekta ya ualimu ndiyo inayoongioza kwa waalimu kupewa majina ya utani...
Katika kusoma kwangu nimebahatika kusoma katika shule mbalimbali zikiwamo za hapa Jijini Dar na za mikoani.
Nimegundua kuwa sekta ya ualimu ndiyo inayoongioza kwa waalimu kupewa majina ya utani...
Ndugu wana JF, leo nataka tujifunze namna ya kuomba maji kupitia lugha za makabila tofauti tofauti.
Hivi karibuni nilikwenda Wilayani Babati, kule nikakutana na watu wa kabila moja liitwalo...
HOUSE BOY: BAKARI
Bakari is a house boy who every day drinks the wine of his Boss and puts water in
the bottle to replace what he drank. But the Boss having suspicions as for the
quality of the...
Failure is not when your girlfriend leaves you,
it's only when you leave her a virgin.
Tension is when wife is pregnant!
Terror is when girlfriend is pregnant!
Horror is when both are...
KIZIGUA: Kugona vihi = Habari za asubuhi KINYAKYUSA: Ughonile = Habari za asubuhi KIYAO: kwimukaga = Habari za asubuhi KIPARE: Murevuka = Habari za asubuhi KIUNGUJA: wambaje = Habari za asubuhi...
Jamani nina kitendawili, katika mahakama moja watu watatu walienda, wawili walikuwa wanamlalamikia mmoja kuwa kila waendapo mahali yule jamaa anaingia peke yao na kuwaacha nje wakimsubiri so...
Jamani wana jamvi, kunakipindi nilikuwa likizo huko home nikasikia umbea kuwa AY na Amani yule mwanamusiki wa Kenya kuwa walikuwa katika harakati za kuoana. Ni kweli?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.