Habari yenu wana MMU
Ningependa kuchukua walau nafasi hii Kumshukuru sana mwenyezi Mungu pamoja na wazazi wangu kwa siku ya leo, siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu.
Kama unalolote la...
Kiutani utani hivi hivi nimefanikiwa kupata kazi FBI.
Walinifuata facebook tukajadiliana mambo kadhaa wakaniajiri hapohapo.
Kutokana na vita vinavyoendelea Ukraine wamesema mambo fulani fulani...
Furahi day tulivu kabisaa naianza weekend yangu nikiwa Maeneo ya Sport bar Kigamboni
Napata lunch yangu safi kabisa nikiwa na burudishwa na Mziki mzuri kutoka kwa EP ya Diamondplatnumz
Huyu mwana...
Ukitaka kujua kuwa mpenzi/mkeo ni mzuri jalibu tu siku mutoke hakikisha yeye amependeza then muende sehemu zenye mkusanyiko wa watu kisha usitembee nae karibu muache urefu wa mita tu utakuja nipa...
Saaa sita kamili usiku nikiwa Pale ...
Kuna Bar nyingi mwanaume nimechili zangu nakula moja moto moja baridi peke yangu,ila wenzangu wanakunywa zile zinazotokana na migomba, mara enkecha mara...
Tofauti na bia ambazo ukinywa tatu hutamani kula ila ukipiga konyagi yako au k vant kwanza huna wasiwasi wa kupata kisukari pia nyama unapiga vzr kitimoto kilo unaimaliza ila sio kwa bia.
Maada...
Kila mtu kabla hajapata kitu flani ambacho anakitamani kukipata huweka ahadi nyingi sana, na hata akiona mtu mwengine anacho basi humuona anakifanya vibaya.
Mara nyingi tunapenda kushinda, kiasi...
salute comrades [emoji1536],
kama mada tajwa hapo juu baadhi ya watu wamekuwa na mitazamo tofauti juu
ya watu walio na dread kichwani au marasta kwa lugha nyingine…vijana wengi now days...
Habari wanajamvi,
Kama uzi unavyojieleza mm ni mwanamke (aga32) nimehamia Singida recently nahitaji company ya marafiki, dada, ndugu wa hiyari ( sio mpenzi please) kutokana na ugeni nimekua busy...
Kuna video hapa inasmabaa mitandaoni ya anaesadikika ni 7ya, naona mwitikio wa hio video umekuwa ni kinyume tofauti na lengo la alieisambaza
comments nyingi hasa kwa upande wa wanawake...
Nikiwa Nyuma ya Keyboard ya Computer Yangu nikiwaza na kuwazua mambo kadha wa kadha Naikumbuka Hii shule, shule iliyonipa maarifa mengi tofauti na ya darasani, story nyingi za duniani nilizijua...
Kwenye maisha au safari ya mafanikio lazima kuwe na dhoruba, ukikata tamaa utakaa kwenye hiyo dhoruba ukijituma utavuka hiyo dhoruba na neema itakuja. Usikate tamaa maana ukikata tamaa Baraka zako...
Yaani hili eneo, acha tu
Sijui ni kwa sababu ya uwingi wa magorofa marefu yenye kufanana
Mimi hadi leo napata tabu kukariri mitaa (with exception of few of them)
Lakini hii mingine acha tu...
Life ya Gheto bana.
Kuosha Vyombo Ni shughuli pevu hatari.
Kufua Hadi Weekend..hapa Ukizembea siku utakuta Umebaki na nguo moja Tu ya kuvaa.
Ukiwa msela Haupendi Mtu ajue life yako full...
Hii WhatsApp status kiukweli inafatiliwa sana watumiaji wa simu janja swala lolote.
Jana naona Ex wangu ananitambia kapata mume wakati alisha ni block na kila mda ananirushia vijembe.
Ukipost...
Niliacha mfuniko wa jaba kubwa nje wakati nakinga maji ya mvua. Nao ukakinga maji, kutoa, imetoka ndoo kubwa na robo. Kama lita 25 hivi.
I thought you should know😊
Ndugu zangu mambo vipi.
Kitambo kidogo ila nigga nipo na hustle zinaendelea kama kawaida sasa katika pitapita zangu nilikutana na hii pisi asee ina trakoooo hatari afu nyeupe huu ndo ugonjwa...