Nyie mnaokuja bar kutazama mpira kuweni wastaharabu na muziki wetu, Sio mnakuja kukaa masaa mawili na soda zenu za buku na mnataka mziki uzimwe.
Nendeni vibanda umiza.
Elezea uzoefu wako, mara ya kwanza kusafiri na gari la magazeti ulikutana na changamoto gani?
Nini ushauri wako kwa ambao hawajawahi kutumia usafiri huo?
Kaka yangu Mzabzab unalionaje hili? Mshana je? Hivi unaweza kuongeza confidence kwa ke kwa kutumia ndumba?
Aisee kuna kiasi naamini, mtoto wa kiume usipokuwa na hela unapoteza kujiamini kabisa...
Habari ya wakati huu
Leo katika pekua pekua yangu nikakutana na picha niliyopiga nikiwa olevel zile zenye negative kwa nyuma [emoji1787] Dah nikakumbuka maisha yangu ya olevel. Hasa kundi moja...
Kuna mada mbalimbali ambazo kwa namna moja au nyingine ukikutana nayo mbele yako hakuna atakaye weza kukupindua. Ni mada gani?
Nikiri kuwa 'mabishano/majibizano ya hoja' ni sanaa na katika sanaa...
1. Kumfata mtu pm na kuomba msaada kwakwe na hapo ataamua mwenyewe kusuka au kunyoa
2. Kusema ile hela tuma kwenye namba hii
Naomba kujua kati ya vitu hivyo hapo kama kuna namba nyingine ongezea...
Nakumbuka kama mwaka mmoja ama sio miwili kabla ya kujiunga JF kulikuwaga na couples kama mbili tatu hivi za hatari, nimesema za hatari kwa sababu walikuwa wanapendana kiasi cha kwamba ukiwa mgeni...
Nakumbuka kipindi nikiwa mdogo nilikuwa msumbufu Sana na mama yangu alikuwa mnoko Tena mkali ajabu.Kipindi hicho wiki isingeweza kuisha kabla sijachezea mabakora ya mama kutokana na ununda wangu...
Okay,
Siku nyingi sana nilikuwa natamani nianzishe thread na mada nilikuwa nayo lakini sikufanya hivyo hadi leo hii.
Nakumbuka back then nilikuwa advance nafkiri ndipo nilipo kutana na...
Tafiti zilizofanywa na wataalamu wa elimu ya jamii wanashauri:
● Kutokuhangaika na Mjinga bali Ujinga; na
● Kutokushughulika na Mkosaji ila Kosa lenyewe.
Maana yake ni kwamba wengi wetu...
Kuna picha kadhaa nimeziona zinazohusiana na video ya mwanafunzi wa UDSM ila wengine mjini hapa hatuna connection za kutosha kupata zile clips.
Embu wadau tusambaze upendo basi.
Kwanza nimejikuta nachukia sana barakoa baada ya watu kukataa kuwa mtu niliyepiga naye picha siyo Diamond. Jana nilikuwa namsikiliza redioni asubuhi na akasema anaenda kuonesha watu hotel yake...
Nimechukua stanza yangu moja tu no.2.... naona mkeka unaelekea kutiki hapaa.
Shairi ni moja beti sita na kila moja na hadhi ya pisi unayotaka. Sasa kazi kwako.
Wakuu, nmehamia kwa sista hapa near sea clif zile vilas and apartment ile barabara inayoenda sea clif baharin huku.aisee wakuu. Niko hapa mwez mzima nalinda nyumba...hahhah yaan namaanisha naamkia...
Mimi leo nikiwa nimelala nimeota naendesha gari yangu aina ya BMW mara Ghafla ikakwama kwenye Tope. Ikabidi nishuke kuisukua Loh! Ile kuamka nakuta nimesukuma kitanda hadi sebuleni. Ni ndoto gani...
Habari za mchana watu wangu wa nguvu..ni matumain yangu nyote mko salama na mnaendelea kuimalizia jumapili mwanana kabisa...🧚♀️🧚♀️
Maisha ni mafupi bhana waaaahiii..😅😅tujifurahishe tu hakuna...