Binafsi naamini kila mmoja ana sababu yake iliyomfanya kujiita hilo jina anatumia hapa JF. Sio mbaya ukitufungulia password za jina lako. Kuna wengine IDs zao zimebeba historia au tukio fulani...
Ninavyo mfahamu Msukuma hufanya yafuatayo;
1- Hapendi makuu ukimchokoza anasema Kaya ya Ng'wobha nayo Kaya ili siku ipite salama.
2- Hapendi Kesi, ukimdhurumu anasema Maguzu Masese ili asipoteze...
Kila kitu kina siku yake, kwa uchache:
Siku ya wanawake
Siku ya wakina Mama
Siku ya wanaume
Kuna
Siku ya wanaotumia mkono wa kushoto
Siku ya wanaovaa miwani
Siku ya wenye vitambi
Siku ya wenye...
Hii siku hiii! Hata sijui imewekewa nini.
Yaani mambo hayaendi kabisa. Hii ndio siku ambayo naingiza pesa ndogo kuliko siku nyingine ndani ya wiki kwenye biashara yangu.
Sijajua kama hii ni kwa...
Kuna makosa hutokea katika maisha na makosa mengine wahusika huwa hawajui kuwa wamefanya
Mojawapo ya makosa hayo ni jinsia tofauti kuungwa kwenye group la jinsia tofauti wakidhani wako peke yao...
Duniani hakuishi vituko
Japani watu wanalipwa madola kibao kwa kufanya mtu alie machozi kuondoa stress wanaamini mtu akilia stress zinaondoka.Wasanii Muwezao kuliza watu mpo? Asipolia hulipwi...
Habari wakuu!
Huu ni uzi wa vichwa vikali vya habari kuanzia mwaka wa 100 kuanzia leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji41]
Usipite bure, weka kichwa cha habari unachoona kitatokea kwa...
Mwaka 2009 nilikua nasafiri kwenye daladala inayotoka Makumbusho kuelekea Mbagala. Mimi nilipanda hiyo daladala kwenye kituo cha Magomeni. Nilipopanda nilikuta daladala limejaa sana. Basi "Konda"...
Kubali ukatae asilimia 90 ya sisi members wa jf ni stressed people hebu ona. Magret thinkers tunapoangukia ilinujue tuko stressed.
1. Wengi tuna kazi Bora. (Kazi huleta stress)
2.wengi tuna...
Kuna member humu ndani wao ni kuleta taarifa tu na mupotea yaani hawanaga muda wa kukihusisha kwenye comments hata kama kuna hoja inawahusu, pia nje ya kuleta taarifa hawajawahi anzisha au...
Tunaposema fulani ni chizi au mwendawazimu tunamaanisha kuwa hatumii ipasavyo akili zake.
Kila mtu ana akili isipokuwa maiti ila utofauti unakuja kwenye matumizi ya akili.
Zifuatazo ni dalili za...
Habari zenu MMU?
Natumaini mko poa kabisa na afya njema. Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Mimi ni kijana wa kitazania ambae nina umri wa miaka 24. Yaani toka nizaliwe sijawahi kufanya...
Kuna ID mpya inajiita Dodoma Demand yupo Kama mwehu sijui shida Ni kwamba hajui kiswahili au anatafuta Nini anachafua Hali ya hewa kwenye jukwaa la siasa kiufupi haeleweki naomba mods wafanye...
Ni vema kutambuana na kukumbushana mambo ya zamani kama kishoka,beto nk. andika mwaka uliomaliza huenda ukapata mliyesoma naye.
angalizo:kama thread hii imerujirudia naomba msamaha kabisa kwani si...
Naona account mpya ya Hizbu Sharifu imekuja kwa kasi tofauti na Mshana Jr huyu Hizbu anafunza watu kumbana na uchawi wakati Mshana JR alikuwa na mastory ya kutisha.
Kuna haja ya kufungua jukwaa...